TANSIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2018 Posts 724 Reaction score 1,034 Sep 12, 2018 #21 Kingsharon92 said: Kwanza ni nani huyo apendwe na kila mtu amekuwa pesa? Click to expand... Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu
Kingsharon92 said: Kwanza ni nani huyo apendwe na kila mtu amekuwa pesa? Click to expand... Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,903 Reaction score 3,140 Sep 12, 2018 #22 Kuna shida kubwa sana hii Africa
Ekuweme JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 3,597 Reaction score 4,066 Sep 12, 2018 #23 Yale yale ya Odinga..... Halafu baada ya wiki mbili tutasikia amepatana na Mnangawa
TANSIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2018 Posts 724 Reaction score 1,034 Sep 12, 2018 #24 Ekuweme said: Yale yale ya Odinga..... Halafu baada ya wiki mbili tutasikia amepatana na Mnangawa Click to expand... wakati huowatu wameshaumia wameshakufa na kupotezeana muda hawatawakumbuka hatakidogo wao wanakula kuku nyie mnakula vumbi daaa siasa nomaaa
Ekuweme said: Yale yale ya Odinga..... Halafu baada ya wiki mbili tutasikia amepatana na Mnangawa Click to expand... wakati huowatu wameshaumia wameshakufa na kupotezeana muda hawatawakumbuka hatakidogo wao wanakula kuku nyie mnakula vumbi daaa siasa nomaaa
Ekuweme JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 3,597 Reaction score 4,066 Sep 12, 2018 #25 TANSIS said: wakati huowatu wameshaumia wameshakufa na kupotezeana muda hawatawakumbuka hatakidogo wao wanakula kuku nyie mnakula vumbi daaa siasa nomaaa Click to expand... Yaani Siasa sometimes ni upumbavu tu mkuu
TANSIS said: wakati huowatu wameshaumia wameshakufa na kupotezeana muda hawatawakumbuka hatakidogo wao wanakula kuku nyie mnakula vumbi daaa siasa nomaaa Click to expand... Yaani Siasa sometimes ni upumbavu tu mkuu
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Sep 12, 2018 #26 TANSIS said: Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu Click to expand... Hao ni wale wale kina odinga besgye hawana madhara kama nyoka wa bujora makumbusho
TANSIS said: Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu Click to expand... Hao ni wale wale kina odinga besgye hawana madhara kama nyoka wa bujora makumbusho
TANSIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2018 Posts 724 Reaction score 1,034 Sep 12, 2018 #27 Ekuweme said: Yaani Siasa sometimes ni upumbavu tu mkuu Click to expand... ukiuendekeza unakuja kujuta baadae tatizo liko hapoo
Ekuweme said: Yaani Siasa sometimes ni upumbavu tu mkuu Click to expand... ukiuendekeza unakuja kujuta baadae tatizo liko hapoo
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,358 Reaction score 289,446 Sep 12, 2018 Thread starter #28 TANSIS said: Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu Click to expand... Uoga ndio dhambi kubwa kuliko zote
TANSIS said: Hapo sasa pesa tu ndiyo mamboyote huyo anataka watu waanza kumwaga damu bure chakushangaza wao na familia zao hawaend front ni upuuzi mtupu Click to expand... Uoga ndio dhambi kubwa kuliko zote
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,358 Reaction score 289,446 Sep 12, 2018 Thread starter #29 sikongefdc said: Bange ivutwe na wenye uwezo wa kuihimili tu, tafadhali. Click to expand... watu wote wa zimbabwe wanakula ng'ana duh!
sikongefdc said: Bange ivutwe na wenye uwezo wa kuihimili tu, tafadhali. Click to expand... watu wote wa zimbabwe wanakula ng'ana duh!