Nelson Chamisa kuapishwa na wananchi .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,314
Reaction score
289,282
Hii ni taarifa iliyosambaa mjini Harare kwamba jumamosi hii ataapishwa kama Rais wa wananchi wa Zimbabwe .
 
Godbless Chamisa , God bless ZIMBABWE
 
Hebu muulize anamjua vizuri Mnangagwa aka Clocodile
swali lako lingefaa waulizwe wananchi wa Zimbabwe waliopanga kumuapisha Chamisa , mimi ni mleta habari tu mjomba , tuliandika kuhusu Odinga na akaapishwa .
 
Siku nyingine hutakiwi kumwaga lawama kwa mtoa habari , hata kama humpendi , hapa jf ni sehemu ya kupata taarifa mbalimbali , chungu au tamu
Nani kakumwagia lawama mkuu mimi nakuelewa sana mrengo wako hapa JF na michango yako Naijua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…