Ninazo za kutosha xema nilikuwa nashida ya kuisafisha moja but for the sake ya biashara uwashe mtambo kwa sababu ya moja jau .........ngoja nijikusanye then ntakushtua manke ninazo km 30 hvUnazo ngapi?mi nna kimtambo cha hiyo kazi sijakitumia muda sana zamani nilikuwa napiga hela
Aisee technolojia ya zamani . Wengi waliokuwa wanafanya technolojia hiyo wamehamia digital photo, au wengine wamefunga biashara kabisa. Kama Negative zako zilishafanyiwa Development (D/O) unaweza kupita kwa wanaoprint kwani kuna Baadhi ya scanner zinaweza kuscan negative. Au unaweza kufanya mautundu mwenyewe kwa kutumia camera ila hazitakuwa angavu.
Poa[
Ninazo za kutosha xema nilikuwa nashida ya kuisafisha moja but for the sake ya biashara uwashe mtambo kwa sababu ya moja jau .........ngoja nijikusanye then ntakushtua manke ninazo km 30 hv