ama kweli dunia imekwisha vibaya sana
yaani tumefikia hatua Allah (MUNGU) tuna mfananisha na "mikia" ya mademu zetu..?
kijana nenda ukatubu na kuomba moderator akubadilishie hicho
kichwa cha habari,..
ama kweli dunia imekwisha vibaya sana
yaani tumefikia hatua Allah (MUNGU) tuna mfananisha na "mikia" ya mademu zetu..?
kijana nenda ukatubu na kuomba moderator akubadilishie hicho
kichwa cha habari,..
Miwani yangu imeharibika lenzi sioni vizuri, hebu niambieni ni nini hicho hapo nyuma kwa huyo binti alievaa nguo kama nyeupe. Maandishi naona ila picha sioni vizuri wandugu.