Viongozi wapya wa Halmashauri ya mji wa Tunduma maarufu kama ( chadema zone ) katika wilaya ya Momba mkoani Mbeya wameahidi kufanya mabadiliko makubwa ya miundo mbinu na mpangilio wa makazi katika mji huo ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia ili kuufanya wa kisasa , jambo ambalo limeshindikana kwa zaidi ya miaka 54 tangu nchi hii imng'oe mkoloni !
Hayo yamebainishwa na mbunge wa eneo hilo Mh Frank Mwakajoka pamoja na Mstahiki Meya Mh Ally Mwafongo .
Tunawashukuru sana wanatunduma kwa kuiamini CHADEMA na hayo ndiyo matunda yake.In CHADEMA WE TRUST .
Na CHADEMA walileta dirty wine & coloured bottle (Lowassa)
ukitaka ufikiriwe uwaziri ndani ya ccm tishia kugombea urais !Kweli jamani kwenye uteuzi ule kweli jamaa analipa fadhila
Nyumbu akiwa kazini!.
CHADEMA ni watu makini sana
CHADEMA,sio makini kama unavyo amini, wameonyesha kuwa hawako makini pale walipoona wanachadema wote hakuna anaefaa kuwa rais, mpaka watu toka CCM. Uposema wako makini sijui unamaanisha nini.
Hasa ikizingatiwa kitu alichofanya JPM jana cha kutuletea old wine in a new bottle.
Hakika kutegemea mabadiliko ndani ya mfumo wa CCM walioishiwa pumzi, ni sawa sawa na kutegemea umpenyeze ngamia kwenye tundu la sindano!
CHADEMA,sio makini kama unavyo amini, wameonyesha kuwa hawako makini pale walipoona wanachadema wote hakuna anaefaa kuwa rais, mpaka watu toka CCM. Uposema wako makini sijui unamaanisha nini.
Jamaa ni kamanda, tulikuwa nae kwenye mkutano wa Lema hapa Arusha, mbunge ana mikakati ya nguvu kwa Tunduma, kijana ana sera za maendeleo kweli Tunduma wamejikomboa.,
ni kweli muda wa kuahidi umekwisha kabisa , bali hii si ahadi ni TAARIFA KWA UMMA .Huu sio muda wa ahadi kama ni ahadi muda wake ulikwisha sasa hivi ni muda wa kutekeleza
tunakushukuru sana mkuu .
kuvunja rekodi kwa ajili ya maendeleo ni jambo zuri .Pamoja mkuu, ila tuwie radhi lazima tuvunje rekodi ya jirani yenu SUGU.:A S wink:
Magufuli hana ujanja mbele ya dudu linaloitwa ccm, na baada ya uteuzi huu wa mawaziri ndiyo mwanzo wa kuisha nguvu ya Magafuli. Wait and you will see what i say.
kuvunja rekodi kwa ajili ya maendeleo ni jambo zuri .
huyo kamanda lema ni hatari sana ! haikuwa rahisi kufuta ccm arusha .Tunataka Lema ndio awe mbunge alie pata kura nyingi kuliko wote, sugu ashike namba 2 kwa sababu now ndio anaongoza.