Ni dhahiri sasa baada ya serikali kuongeza bei ya vibali vya kazi kwa wageni walioajiriwa hapa TZ mpaka Dollar 2000 za kimarekani kwa kila mgeni mwenye pua moja, waajili wengi watakuwa hawana jinsi bali kuanza kuajili watanzania!
Mimi nafikiri ni wakati sasa wa kuanza kujipanga na kuacha kulalamika, kazi zinakuja, nimetembelea makampuni mengi kama Tanelec Arusha ambao wanatengeneza Transformers kuna wageni wengi sana na sasa ni lazima watarudishwa kwao tu kwani $ 2000 ni nyingi sana kwa pua, na kupewa watanzania, kwa hiyo kama wewe ni muhandisi au una technical degree yoyote changamka haraka sana, kuna kilimanjaro Biochem ltd hawa wanazalisha ethanol nao wageni kibao kwa hiyo kama umesomea hayo mambo bio... changamka haraka sana, list inaendelea manake kutoka Hi tec jobs mpaka mohotelini kama kuna mtu unamjua ana vigezo mwambie achangamke!
sasa hiyo 2000$ ni kwa siku, mwezi au mwaka?

nafikiri nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani, hasa kwa zile professions ambazo labda tz hamna au ni ngumu kupata watu kama kwenye Oil and Gas lakini bado naamini kuna wageni wengi ambao wanalipwa sh milioni 2 - 4 kwa mwezi kwa mfano Tanelec wageni wengi wanalipwa eneo hilo au Azam au hata kwenye mahoteli, hivyo kama serikali ikisimamia vizuri watajiuliza mara mbili kama ya kumleta mtu ambaye wanaweza kumpata hapa hapa nyumbani kwa gharama ndogo!USD 2000/miezi 12 ni sawa na USD 167 kwa mwezi; kwa kampuni inayozungumzia labda mauzo ya TShs. 2 billion kwa mwezi wewe unaona bado ni nyingi? Afterall hao wageni wakiambia wakatwe hiyo USD 2000 watakuwa tayari kwani kile wanacholipwa hapa Tanzania wanaweza kuweka akiba kubwa zaidi kuliko wangelipwa nchini kwao i.e. life style ya Tanzania ni ya chini ukilinganisha na nchi zilizo mbele yetu kimaendeleo kama SA, Kenya, Zimbabwe kwa uchache