Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,081
Watanzania wanamuamini magufuli, na chini ya uongozi wake mambo yatakuwa sawa na poa sana. wanaombeza narudia tena wanaombeza, iko siku watamkubali na kumpigia saruti. TUMAINI JIPYA LINAKUJA KWA WATANZANIA
Huwezi kuwa mwananchi wa kawaida!
Kwamba inawalipa 'madai yasiyokuwa malimbikizo ya mishahara'!?
Mbona kama hawajafanya kitu hapo.Maana kwa kadri nijuavyo malimbikizo ya mishahara(areas) ni pasua kichwa.
Mtoa mada ameweka kichwa habari kwa mtazamo wa Neema, na amesahua kama ni haki yao, sasa tokeo lini stahiki yako ukilipwa inakuwa neema, mie ningeshauri wangedai na fidia ya ucheleweshwaji wa stahiki zao.
Hatimae serikali imeamua kuwa lipa watumishi hao madai yao yasiyokuwa malimbikizo ya mashahara. Hii ni pamoja na hela za likizo. Takribani 10bn zinatarajiwa kulipwa muda wowote kuanzia sasa.
Je, hii ni kuwalegeza walimu waichague CCM ama ni utekelezaji wa serikali yetu sikivu baada ya kujionea hali ngumu za walimu huko ktk kampeni?
Mungu ibariki Tanzania.
hapo kwenye mabano ni double r siyo single r (arreas) tunakumbushana tu mkuu usijari
Watanzania wanamuamini Magufuli, na chini ya uongozi wake mambo yatakuwa sawa na poa sana. wanaombeza narudia tena wanaombeza, iko siku watamkubali na kumpigia saruti. TUMAINI JIPYA LINAKUJA KWA WATANZANIA
Nashukuru sana kiongozi.hapo kwenye mabano ni double r siyo single r (arreas) tunakumbushana tu mkuu usijari
hapo kwenye mabano ni double r siyo single r (arreas) tunakumbushana tu mkuu usijari