Neema Gosple Choir mmeshindikana

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
8,644
Reaction score
15,398
Katika miaka mi5 hivi hii kwaya inafanya vizuri sana kuanzia kwenye utunzi, music arrangements, production zao ni motoo

Zama za kkkt mabibo, lulu zimepita japo hazijasahaulika, Neema gospel wamekuja na taste mpya tofauti kulingana na kizazi kilichopo sasa hivi

CVC nao wanajitahidi sio mbaya ila bado, neema gosple choir imekuja kuchangamsha music wa injili owa upande wa kwaya

Nimewafatilia tangu enzi ya nyimbo kama "kuna mamba kivukoni, ponya kanisa lako, hadi za hivi karibuni kwakweli wamepiga hatua kubwa

Baada ya AIC tabora kuchokoza na wimbo wao wa zouk, neema hakupoa wamekuja na "Yu upande wangu "

Hongera sana Masanja na Mwalimu Alexander na timu yenu πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.
 

Attachments

Vijana hawa Neema Choir wananibariki sana kwa tungo nzuri zinazoimbika na kumtukuza Mungu.
 
ok.
πŸ’
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…