Neeed a challenge................(game rs only)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Aje wakuu, i think am unbeatable kwa fifa 13 wakuu. nimefunga watu 20 with a record of no losing or draw,20 in a row. so kama kuna mkuu anataka kujaribu mpambano ruksa, then kwa wanaohitaji pc games kama FIA 13, TOM CLANCY'S GHOST RECON,N4S HOT PURSUIT 14, STREET FIGHTER X TEKKEN, SNIPER ELITE V2, TONY HAWKS PRO SKATER HD, WWE RAW ULTIMATE IMPACT, NBA 2K 13 for free (PC GAMES) wanaweza wakanicheck muhim tu kuwa na extrnal kurahisisha zoezi la transferring.
NB: Im currently out of town but from 4th march ntakua napatikana maeneo ya posta pamba road (NBC club).
 
unatumia controller au keyboard? nitafute ukirudi, hiyo winning streak yako nikuonyeshe inavyopasuka
 

is that Mwz o Dar?
 
Dah ingekuwa kuna crack ya kuweza kucheza online, au kama kuna mtu ana key ya ku access online features. Ingekuwa poa sana tukutane uko.
 
mpira hauna ishuuuuuuuuu njoeni huku kwa wajanja lord of the rings online game zuri quality nzuri then hata computer ya mwaka 90 inaplay bila kustack. Member kibaoo game buree no need to crack.
 
sio kweli ukirudi nitafute kwa fifa13
kwa mabingwa wa fifa13 sidhani kama utatoka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…