RISHBAH RAJ
Senior Member
- Nov 6, 2018
- 172
- 338
Watu aina hii wamejaa kwenye makampuni ya wahindi, sijui hii tumbuatumbua kwanini haijafika huko Labour na Immigration!Utasaidiwa Kaka, Ukipata email ya Makonda mchezo umeisha
lakini nimepata shaka sana na uwezo wako na nafasi uliyokuwa nayo kama GM, umeshindwa kabisa kujieleza kwa mtiririko wa kueleweka,
kwa kweli watu wa Labour wanastahili kutumbuliwa sioni uwezo wowote wa huyo Bwana kupewa Permit ya kufanya kazi kama mgeni na kwa cheo alichokuwa nacho
Dear i am neither lawyer not politician, so to write simple facts which happened, you can't judge people by writing in forum, hope u understand.Utasaidiwa Kaka, Ukipata email ya Makonda mchezo umeisha.
Lakini nimepata shaka sana na uwezo wako na nafasi uliyokuwa nayo kama GM, umeshindwa kabisa kujieleza kwa mtiririko wa kueleweka.
Kwa kweli watu wa Labour wanastahili kutumbuliwa sioni uwezo wowote wa huyo Bwana kupewa Permit ya kufanya kazi kama mgeni na kwa cheo alichokuwa nacho
Dear read carefully, it is the name of person written Mohammed Saleh, not written GSM robbed. 2nd thing i have written and file criminal and labour case.Before we considering you for our help, will you emphasize what was your roll on robbing Tanzanian before envetually GSM robbed you?
Can you please prove and give us facts why you think company did unethically approach towards staffs in this case you?
Can you wistle blow something that you think it might help us to discover and recover government revenue?
Shukria bhaia
NooooNadhani unapaswa kushukuru kwamba hawakukudhuru bali walikuacha ukipumua hivyo PAMBANA na hali yako huko huko kwenu India.
Uliwahi kuwatetea Wabongo wangapi waliokuwa wakilipwa elfu 70 wakati wewe Ukivuta Dollar 4,000/= bila expertism yoyote?
Dear My post was to get help not your commentary, you neither write correct Swahli nor English. Please stop writing. as you have no agenda in life.
Thanks for your words, this was illegal deportation as it was done by 4 employee and 3 outside men, who told that they are police but did not show any ID. more over all of them came in to personal vehicle of GSM, In immigration i just went as normal as it was not wrong anything from police, immigration & labour.Tunatakiwa tuangalie swala hili kwa mtazamo wa kibinadamu bila kujali kama huyu ni Mhindi au Mndengereko. Kama hawa jamaa wanaweza kumfanyia hivyo mhindi mwenzao, je Msukuma atanusurika? Je kwenye hili zoezi la deportation uhamiaji walihusika?
Mr Rishbah Raj, among the jamii forum family, we have Mr Manyerere Jackton, who is very talented in investigative journalism, by this post I humbly request him to look into this issue. I believe, if the Almighty is on your side you will get the much needed justice.
Thanks for your words, this was illegal deportation as it was done by 4 employee and 3 outside men, who told that they are police but did not show any ID. more over all of them came in to personal vehicle of GSM, In immigration i just went as normal as it was not wrong anything from police, immigration & labour.
People who came mid night my home and told me they are police, actually they were fake police. The issue was not i lost job but the way it has been handled, i have been doing retail business set up across the world but such treatment never seen in any company.