Need a job in any organisation

Joined
May 17, 2008
Messages
5
Likes
0
Points
0

carezantel

Member
Joined May 17, 2008
5 0 0
I am 21 years old lady who have completed her studies of full secretarial duties and good in Typing, i can also use computer. i can speak English and Kishwahili, i have worked as a Typist in a private organisation for six months for part-time job. i am serious searching for a permanent job.
I am ready to work hard and follow working career.
stay blessed.........
 
Joined
Nov 2, 2006
Messages
4,235
Likes
38
Points
0

Yona F. Maro

R I P
Joined Nov 2, 2006
4,235 38 0
Dear Mbona Nickname yako inafanana na Zantel huoni kwamba utaleta matatizo hapo mbeleni jinsi unavyoendelea kuchangia mada na mambo mengine huku ?

Hilo jina la Zantel ni usajili wa kampuni ujue
 
BabaH

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Messages
703
Likes
6
Points
35

BabaH

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2008
703 6 35
Dear Mbona Nickname yako inafanana na Zantel huoni kwamba utaleta matatizo hapo mbeleni jinsi unavyoendelea kuchangia mada na mambo mengine huku ?

Hilo jina la Zantel ni usajili wa kampuni ujue
tumia akili we kibaraka wa zecomedy na kisura
kwani yeye katumia zantel, pia hata akitumia zantel hakuna neno
wewe mbona unatumia SHY unajua maana yake?

Shy is a British classic rock/metal band formed in 1980 under the name Trojan, hailing from Birmingham, England
SHY is an Italian owned fashion label specialising in women's shoes and handbags.
.(Ref:http://en.wikipedia.org/wiki/Shy_(company))

Kwahiyo wewe hapo ndio ubadilishe jina lako ni sio kusema sema watu, kibaraka mkubwa wewe, unaleta ujibaraka wako mpaka kwenye personal issues za watu
 
ThinkPad

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
1,851
Likes
22
Points
135

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
1,851 22 135
Jamani toeni msaada sio longolongo kama haiwezekani kwenu tuwaachie hili jamvi wenye uwezo wakumsaidia huyu ndugu kama hamna jipya una uchuna tu kama mimi.

Wewe dada keep on waiting Mungu atafungua mlango utapata kazi humu JF kuna watu tu watakusaidia tupo watu wanamna tofauti naamini utasaidiwa tu hata kimawazo pia.

nakutakia mchakato mwema.

Shy sio fresh msaidie huyu dada,
 
Lasthope

Senior Member
Joined
Jun 5, 2008
Messages
149
Likes
3
Points
0

Lasthope

Senior Member
Joined Jun 5, 2008
149 3 0
I am 21 years old lady who have completed her studies of full secretarial duties and good in Typing, i can also use computer. i can speak English and Kishwahili, i have worked as a Typist in a private organisation for six months for part-time job. i am serious searching for a permanent job.
I am ready to work hard and follow working career.
stay blessed.........
tuma cv yako kwenye stacyrobert56@gmail.com and you never know.....
all the best
 
Forum statistics

Threads 1,204,941
Members 457,634
Posts 28,177,499