kweli waanzie hapo....Ngoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,
1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.
Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.
WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
Ngoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,
1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.
Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.
WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
Kijana acha kutoa maneno yakejeli kwa vitu usivyovielewa. katika Taasisi za Serikali zinazofanya kazi zake bila kuogopa mtu ni NECTA. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo yanayotokea Nchini ungejua ni kwanini miaka miwili iliyopita lile zoezi la uhakiki sifa/vyeti vya watumishi wa serikali lililoanza kwa kishindo lilisimamishwa ghafla.walivyo mbumbumbu utaskia walimu 60 wameshikwa,anzeni huku kama kwel nyie wanaume tunajua 3/4 ya hizo idara vyet bandia
NECTA inafanya kazi kwa kushirikiana na Waajiri, kama Waajiri wenyewe vyeti vyao haviko sawa unadhani wataruhusu NECTA kuhakiki kwenye Taasisi zao? Kila Taasisi ya Serikali ina mipaka yake ya ufanyaji kazi zake, NECTA haiwezi kuingia kwa nguvu kwenye Taasisi yoyote na kuhakiki bila kupewa ushiriakiano na wadau. Tuwape kwanza ushirikiano halafu wakishindwa ndipo tuje humu kulaumu.Ngoja niwasaidie kuwaelekeza watu wanaohusika na vyeti vya bandia waanzie hapa,
1. Polisi
2. Magereza
3. JWTZ
4. Uhamiaji.
Maeneo hayo yametapakaa matumizi ya vyeti bandia na wengi wamepata kazi hiyo kwa vimemo vya wakubwa.
WAANZIE HUKO KWANZA.WAJE WATOE MREJESHO KAMA HAWAJAKUTA NUSU YA MAAFISA NI VYETI BANDIA WANAVITUMIA.WENGINE WANATUMIA VYETI VYA NDG ZAO NA HILO NALO WAFUATILIE.
Kijana acha kutoa maneno yakejeli kwa vitu usivyovielewa. katika Taasisi za Serikali zinazofanya kazi zake bila kuogopa mtu ni NECTA. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo yanayotokea Nchini ungejua ni kwanini miaka miwili iliyopita lile zoezi la uhakiki sifa/vyeti vya watumishi wa serikali lililoanza kwa kishindo lilisimamishwa ghafla.
NECTA ilifanya kazi yake vizuri mno na kuna watu wazito walikutwa wakiwa hapo walipo bila kuwa na sifa, wewe ulitaka NECTA ifanye nini wakati NECTA kwa mujibu wa uanzishwaji wake ipo chini ya Wizara ya Elimu ambayo wote tunaifahamu ilivyo na wala sio chombo huru kama ilivyo kwa CAG.
Kijana acha kukurupuka, usidhani wote waliopo humu ni mambumbumbu kama wewe. NECTA inahusikaje katika huo utafiti wako unaosema ulifanya? Hebu kwanza jiulize wewe na Idara/Taasisi yako umeajiri watu waliotumia vyeti feki bila kulishirikisha Baraza la Mitihani ili lije kwanza kuhakiki vyeti hivyo halafu mwisho wa siku unakuja kulilaumu Baraza la Mitihani. Yaani ni sawa sawa na mwenye Lori anaajiri dereva wakati dereva huyo amempa leseni feki, badala ya kuichukua leseni hiyo na kuiwasilisha mamlaka husika kwa ajili ya uhakiki yeye anaona kapata dereva. Mwisho wa siku DEREVA kapata ajali ya kizembe inabainika alikuwa sio dereva makini unaanza kulaumu Polisi wa Barabarani/TRA. What a shame!we bado upo usingizin,unakumbuka 2006 ilivyokua?2011 unakumbuka?kuna idadi kubwa ya vyeti fek kwa izo idara acha kutetea?ukitaka details zaid naweza kukuwekea apa ujionee
Serikali yako haikutaka tu kuwatumia NECTA.mimi nimejiuliza, kwani siku zote zilizopita walikuwa hawana ukaguzi huu kwa waajiriwa ?.
pole tanzania.