Hivi kwa nini NECTA inashughulikia mitihani ya Dini. Kwa nini wasiwaachie mashekhe wakatunga na kusahihisha Elimu ya Dini ya Kiislamu na Maaskofu watunge na Kusahihisha Bible Knowledge? Kama ni kweli serikali haina dini, inakuwaje taasisi yake ishughulikie mitihani ya dini? TAFAKARI CHUKUA HATUA