Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Wakuu wale watoto wa Lucky Visent watakua wana Special Session yao ya Kufanya Mtihani au Itakuaje au Ndo hivyo Kama hawatahudhuria wataandikiwa X-X-X-X-X-X
Mi naona Wangesogezewa Session Mbele lakini Siyo Kuwarudishia Mwaka. Niko nafuatilia maendeleo ya watoto kwa kweli yanaleta Matumaini Watoto now wanagonga Yai tuu na Wazungu.
Ngoja Tufuatilie wanaweza kulamba Ufadhili wa Kukaa Huko huko kwa Trump maana nimesikia wamepata Ufadhili wa Kusomeshwa lakini watakua TZ.
Gets well Soon Our Boy and Girls.