NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Kwa mwenye habari kamili kama Mtihani wa taifa form six mwakani ni May, nimesikia tetesi chini chini ila sina hakika
hakuna kitu kama hicho wakuu,hili lilikuwa wazo la mbunge wa CDM viti maalum wakati akichangia hotuba ya waziri wa Elimu,hata hivyo halikutiliwa maanani