siri ya mtungi
Member
- Nov 21, 2014
- 23
- 1
Wakuu naomba kuuliza nec ilisema awamu amu hii matokeo uwanza kutangazwa kwenye vituo ikiwa ni sambamba na kubandika mtokeo ya pande zote tatu sasa swali langu wanasema tukiisha piga kura turudi nyumbani je? Msimamizi atamtangazia nani wakati wote tupo nyumbani? Au kuna utaratibu wa kutangaza kwenye media.