Mngekuwa mnasomaga basi na sheria za uchaguzi zinasemaje Jimbo linapokuwa wazi, badala ya kukurupuka na mineno isiyokuwa na msingi na si muwatulize basi hao wanaohama wabaki kwenye vyama vyao kama kweli walienda huko kwa moyo wa kufia chama na si kutafuta maisha.Siku hizi wanaitisha uchaguzi chap chap ili mnunuliwa asikae muda mrefu bila in flow...!
Kaijage ye ndio anawatoa hao wabunge kwenye vyama vyaoWaste of time and resorces, huu ni ufisadi wa kutisha. Watu wanaharibu pesa kwenye vitu fake fake fake. Watu weusi tutaendelea kutukanwa na haki yetu. Hivi huyu mhaya Kaijage haoni aibu kusimamia vitu fake?
Afu ni jaji... Mfuko wa pole pole c mchezoWaste of time and resorces, huu ni ufisadi wa kutisha. Watu wanaharibu pesa kwenye vitu fake fake fake. Watu weusi tutaendelea kutukanwa na haki yetu. Hivi huyu mhaya Kaijage haoni aibu kusimamia vitu fake?
Kaijage ye ndio anawatoa hao wabunge kwenye vyama vyao
naijiuliza sipati jibu hivi Mke akichukuliwa na Mwanaume mwingine tena jirani yako na anakukana hadharani utamlaumu huyo mwanaume?? au na alikoenda akiamua kuolewa utamlaumu Shekh/Mchungaji kwa nini unafungisha ndoa ya mke alokukimbia na talaka kakupa, na matusi juu tafuteni hoja zenye mashiko Muacheni Kaijage afanye kazi yake kama iliyoelekezwa kwenye sheria za uchaguzi pambaneni na hama hama yenu
Afu ni jaji... Mfuko wa pole pole c mchezo