Elections 2010 NEC ukiona mwenzio kanyolewa zako tia maji

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
744
0
Methali hii inamaana kubwa sana,, na maana Hi ni kwa wale ambao waliboronga katika uchaguzi mkuu,, na walio shuhudia wenzao wakiboronga na kupata effects kubwa ikiwemo wengine kukosa Ajira yao waliokuwa wakiitegemea, ""Mfano Wabunge kukosa ubunge,, Madiwani kukosa udiwani"" Hii inatokana na kuboronga kiufanisi katika kipindi chao cha kazi,,

Naiongelea NEC kwakuwa aliboronga kiasi cha Wao wenyewe kukubali kuwa NEC inakasoro nyingi ambazo zinatakiwa kurekebishwa,, nayo ipo hatalinikunyolewa kama wenzao walivyo fanywa na wananchi..

Wafanya kazi wa NEC woooteee muda si mrefu Kibarua kitaota nyasi,,
 

Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
0
hivi bado haijavunjwa hiii mijitu mizembe sana hata kufuata kanunu za baba yao CCM imesuasua mpaka kila mtu kamuona baba yuko uchiiiiiiiiiiiiiii
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
744
0
hahahahahah uwanja utajaa maji tuu waache wao wanajiona wamefiiikaaaaaa,, kushirikiana na waajiri wao kuiba kura
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,546
2,000
Makamishina wote wa NEC wanastahili kupigwa risasi mpaka wafe, dhaambi waliyoifanya kwa nchi hii haisameheki
 

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
744
0
Mi naona kunahaja ya Wabunge wetu watunge sheria hii na waisimamie ili ikubaliwe na selikali kwakuwa imekuwa kama kamchezo ka kuigiza hivi NEC wameboronga hatakidogo washitakiwe na adhabu yake iwe kunyongwa kwakuwa maafa ya mistake yake ni kifo cha watanania wengi sana kwannini wafe kumi wakati msababishi nimmoja?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom