Electritian
Member
- Sep 10, 2017
- 42
- 34
Mara elfu mia moja ule ugali kwa mlenda au chumvi ili angalau uilinde heshima yako uliyoitengeneza kwa maisha yako yote! Hivi siku ile parapanda tunayoaminishwa ikipigwa halafu uamke huko mavumbini kisha ukutane na vitabu viliandika historia yako chafu ni unaweza kufa tena na kukataa kufufuka kabisa! Tujifunze kuzilinda heshima tulizozijenga kwa kusota sana madarasani na kudhalilika na mitihani kwa kuloweka miguu kwenye beseni la maji ya baridi ili usilale! Njaa ipo tu na sidhani kama wanafurahia hizo best food wanazolishwa kwani hazina ladha kabisa!Mkuu watajiuzulu wakale wapi? Hao wanasheria wanatumikia matumbo hivyo weledi umefutika.
Ukifuatilia vikao vya wakurugenzi na watendaji wao wa kata na mitaa/vijiji utashangaa sana, 2020 kuna uwezekano mkubwa saaaanaa upinzani usibebe hata kitongoji kimoja! WEOs &VEOs wanaambiwa kitongoji chochote kikienda upinzani, na ukatangaza, pitia hukohuko hadi kwenu!!!! Trust me kazi ipoMimi binafsi sifurahii mkurugenzi wa halmashauri kuhusika katika chaguzi zetu, ukweli ulio wazi kuwa hawezi kutenda haki. Na pia NEC du ni majanga........
Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Yaani mimi nasikitika sana, kwa tunavyoona mambo yanavyokwenda wapiga kura watazidi kuacha kupiga kura, kwani hii changamoto watu wote wenye akili wanaona, suruhu itakuwa kuacha kupiga kura wapite tu bila kupingwa. Hii itapelekea uchaguzi wa 2025 kuwa mgumu sana kwa Chama tawala.Kwa ninayoyaona kwenye vikao vya wakurugenzi na watendaji wao wa kata na mitaa/vijiji, 2020 kuna uwezekano mkubwa saaaanaa upinzani usibebe hata kitongoji kimoja! WEOs &VEOs wanaambiwa kitongoji chochote kikienda upinzani, na ukatangaza, pitia hukohuko hadi kwenu!!!! Trust me kazi ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachosikitisha watz wengi akili ndogo, hawajui kinachoendelea. Lakini tunakoelekea kila mmoja ataelewaYaani mimi nasikitika sana, kwa tunavyoona mambo yanavyokwenda wapiga kura watazidi kuacha kupiga kura, kwani hii changamoto watu wote wenye akili wanaona, suruhu itakuwa kuacha kupiga kura wapite tu bila kupingwa. Hii itapelekea uchaguzi wa 2025 kuwa mgumu sana kwa Chama tawala.
Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Magu anaweza ila hatafanya hivyo sababu ndo inabeba chama ikisaidiana na polisi kwa maelekezo ya sizo!