NEC nao waji-commit kimaandishi kwa vyama kutenda haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC nao waji-commit kimaandishi kwa vyama kutenda haki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Aug 23, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  [FONT=&quot]Wana JF, tumeona jinsi Tume ya Uchaguzi (NEC) ilivyakazania kuvisainisha vyama (kwa maana ya viongozi wao wakuu) kwenye hati kwamba watafanya kampeni za kistaarabu, bila vurugu, bila matusi etc etc etc…[/FONT]

  [FONT=&quot]Sasa basi kwanini na vyama navyo visidai kuisainisha NEC kwamba chombo hicho kitafanya kazi yake kwa kistaarabu, kwa kuzingatia haki na bila upendeleo wowote…… etc etc etc?[/FONT]

  [FONT=&quot]Nafahamu kwamba Tume ilitoa kiapo mbele ya Rais kwamba itafanyakazi kwa kuzingatia haki etc, lakini kiapo hicho kilikuwa mbele ya Rais, ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala ambacho nacho kimo katika kinyang'anyiro hicho.[/FONT]

  [FONT=&quot]Nadhani it's time NEC nao wakatoa reciprocate kwa kutoa commitment ya namna hiyo kwani tayari hata kampeni hazijaanza sasawa kumetokea malalamiko kibao hasa kutoka kwa vyama vya upinzani.[/FONT]
   
Loading...