singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kweli Kabisa, Kwa Vile ZANZIBAR Ni NCHI Yenye MAMLAKA Yake Ya NDANI!!! NDIO Tujue Wenzentu Wanajitambua Na Kujivunia Nchi Yao! Huku Sisi Huku Tanganyika Na Kusema Tu, 9 Dec Ni Siku Ya Uhuru Wa Tanganyika!! ETI Leo Wtt Wanaaminishwa Kuwa Ni Siku Ya Uhuru Wa TANZANIA BARA! Sijui Hiyo TANZANIA Inapatikanaje Kabla Ya Kupatikana Uhuru Wa Tanganyika Na Zanzibar!!!!! Tunaogopa Hata Kusema Neno Tanganyika Tunaaminishwa Ni Dhambi Na Ubaguzi!! BALI Tujiite TANZANIA BARA Na Wenzentu Wajiite Ni TANZANIA VISIWANI!!! SASA Hebu Tujiulize Leo Ni NANI Ambaye Amesikia Leo, Wazanzibar Wanatamka Kule Kwao Ni TANZANIA VISIWANI!!!?? Tuache Unafiki!!!!
Jecha ndio ana mamlaka?
Hadithi nyingine hata chekechea watakucheka. Tume ikiishateuliwa inakuwa na mamlaka kuliko mteuzi na hata Rais wa muungano? Rais wa muungano asie na mamlaka upande mmoja? Sasa alienda kutafuta kura za nini?
KAMA Sio Wanajeshi Na Vikosi Vya Ulinzi Na Usalama, Ambavyo AMRI JESHI Wake Mkuu Ni RAIS Wa JMT!! HUO Usalama Unaousema Ungetoka Wapi!!!!!!!!????Zanzibar siyo Nyumbu, ndio maana uchaguzi utarudiwa na amani itatawala.
Kwa hiyo wakati wanaamrishwa Wafute uchaguzi huo uhuru ulikuwa LikizoSio Jecha Kama mtu binafsi bali ni ZEC. Tena katiba yao imeweka wazi ZEC ni Tume Huru na isiingiliwe.
Queen Esther