BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Serikali tatu gharama;kuongeza majimbo ruksa!
Akili za ccm za hovyo sana,yani uwezo wao wa kufikiri ni wa kujitoa ufahamu
Serikali tatu gharama;kuongeza majimbo ruksa!
Mkuu taifa linapo bebeshwa gharama ili chama kimalize matatizo yake!, haikubalikiLahaula...!
Unagawa majimbo huku hujui hata idadi ya wapiga kura!
Unagawa majimbo miezi minne kabla ya upigaji kura!
Only in Tanzania!
Serikali tatu gharama;kuongeza majimbo ruksa!
Nimesoma habari yote. Mbona sioni mahali popote majimbo hayo yakitajwa?
Serikali tatu gharama;kuongeza majimbo ruksa!
Hii nchi imebakia kutwangana tu ili kuwepo adabu na kuheshimiana...
Walikuwa wapi kuyafanya haya mapema...!!!
Tusisahau kujiandikisha na kupiga kura.Tutawatandika vizuri
Amesema bado wanafanya tathmini kisha watatangaza..
Kuongeza majimbo ni kuongeza gharama. Hii NEC hata hela ya BVR hawajapewa zote serikali kwa nini itumie fedha kwa mambo yasiyo ya lazima? Kwa teknolojia ya sasa ya habari majimbo yanatakiwa yapunguzwe. Lkn ccm ikiongeza tukiingia ikulu kitu cha kwanza ni kuifuta hii tume na kurekebisha katiba na kuunda tume guru.