ismailo.nn
Member
- Jun 4, 2012
- 5
- 0
NEC imekosa mwelekeo kwa mambo yafuatayo;
01 kuwepo kwa matatizo ya chaguzi mbalimbali kama jimbo la Arusha mjini na majimbo mengineyo
02 kukosa maamuzi sahihi juu ya kazi wanayopaswa kuifanya. Kutokana na uozo huo hupelekea kuwepo kwa fujo na uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi. Je waungwana nini kifanyike ili haya yasijitokeze