NEC imekula njama jimbo la kalenga.

NEC imekula njama jimbo la kalenga.

Amiri Kadau

Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
5
Reaction score
2
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa viongozo waandamizi wakuu wa Chadema watakuwa ndani ya bunge la katiba.
 
Chadema , sio sawa na CUF kuwa Lipumba na. Mtatiro.......
 
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa viongozo waandamizi wakuu wa Chadema watakuwa ndani ya bunge la katiba.
haisadii maana chopa zipo
 
Siamini kuwa kuwepo kwa bunge la katiba vyama vitakuwa vimesimamisha shughuli zake. Hata kama ikitokea hata aliewatuma wapange hivyo nae vinara wake wengi watakuwa bungeni
 
kunawatu wa ajabu kweli mbona babu na wengine wengi wapo nje ya wajumbe au!
 
chadema n taasisi , siyo mtu mmoja wapo makamanda wengi watakaopiga timu pale, na ushindi mia mia.
 
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa viongozo waandamizi wakuu wa Chadema watakuwa ndani ya bunge la katiba.

Viongozo ndio nini, hizi gongo zinawafanya muwe hivi!

1620987_688701521226278_62794813_n.jpg
 
Hivi kwani watu wa CHADEMA ni walalamishi sana?
 
kwanini usiulize kwanini watu was nyinyiem ni wezi sana was kura maana bila magumashi hamna kitu ni chili cha mende!!!!!!!
 
Lazima wakae, its just a matter of time
 
Mbona chadema ina makamanda wengi tu? Kina heche, dr. Slaa, munish na wengine wengi tu, binafsi nawapongeza tume kwa maana magaidi kama kina mwigulu hawatakuwepo!
 
Back
Top Bottom