NEC: Hakuna kura ya maoni bila daftari jipya

NEC: Hakuna kura ya maoni bila daftari jipya

AKikazania msimamo huo sijui kama hatafukuzwa kazi.

Kitu kimoja kama jamaa anamsimamo kama wa yule mwanasheria aliefukuzwa sawa ,ila isijekuwa ni kigogo cha mpapai na inawezekana ni zilezile danganya toto ,kuona tuna watu wanaoweza kusimamia yale majukumu yao bila ya kumuogopa au kumuonea haya na aibu mtu yryote.
 
Wapo watu kama hawa lakini wanakosa guts wazungu wanasema.Lubuva anaogopa kwenye ulimwengu wa pili anaenda kujibu nini.Kukitokea vurugu zozote atajibu pia.Woga wa Mungu umemsukuma labda.
 
Ccm muondoeni na Jaji Lubuva kama mulivyomuondoa AG wa ZNZ
 
Kwa style hiyo kikwete atakuwa amevuka bila lawama. Tukiikataa katiba atakuwa na la kujitetea. "Maana alisifu tume na akasifu na bmk. Na akaonyesha kuwa yeye alitaka katiba tena ambayo inatokana na maoni ya wananchi lakini wenzake hawajakubaliana na maoni ya wananchi yaliyokuwa kwenye rasimu ya tmk. Akasema tuzidishe pressure wataelewa akiwa na maana tukiikataa katiba pendekezwa wenzake ndo wataelewa kuwa katika kutengeneza katiba maoni ya wananchi yanatakiwa kuheshimiwa" akili ya kuambiwa ongeza na za kwako
 
kwa style hiyo kikwete atakuwa amevuka bila lawama. Tukiikataa katiba atakuwa na la kujitetea. "maana alisifu tume na akasifu na bmk. Na akaonyesha kuwa yeye alitaka katiba tena ambayo inatokana na maoni ya wananchi lakini wenzake hawajakubaliana na maoni ya wananchi yaliyokuwa kwenye rasimu ya tmk. Akasema tuzidishe pressure wataelewa akiwa na maana tukiikataa katiba pendekezwa wenzake ndo wataelewa kuwa katika kutengeneza katiba maoni ya wananchi yanatakiwa kuheshimiwa" akili ya kuambiwa ongeza na za kwako

mkuu mimi sikuamini kama jk anaweza ongea vile, yaani jamaa ni kigeugeu hakuna mfano, hatakai kuoneka mbaya kwa kila kundi.. Daah hapa ndio shida kuu, akikutana na viongozi wa dini anasema hv, sisiemu wakimuweka kiti moto anageuka, majuzi pale dom kwa yale maneno ni kwamba hakukubaliana na kilichotokea ndio maana alisema watu wanaotaka serikali tatu wasiache kusema kuna siku watasikilizwa.... Ni shida sana kuwa na mtu mnafiki kama huyu, ukiweka na shein ndio kabisa,,,,
 
Ameshawaprempt tena kwa hoja za msingi hivyo itakuwa ngumu hata kwa wao kumpa pressure !. Asingewaprempt wangemtumia huyo huyo (kama mamlaka inahusiana na uchaguzi) kutetea upuuzi wao wa kutumia daftari la zamani !.

Sasa hivi itakuwa ngumu yeye kubadilisha maneno yake na ukizingatia yeye mwenyewe akipresent hiyo taasisi ya uchaguzi ametaja vijana 2.3 million.....

CCM wangependa wafanye hiyo kura ya maoni kwa kutumia daftari la zamani, lakini katika hali ya sasa hawawezi kufanikiwa kabisa hata kama Lubuva angewaunga mkono !. Ila Lubuva amestuka akawaprempt mapema !

Back
Top Bottom