Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Hivi kuombwa ku-present jinsi programu ya kompyuta ya kujumulisha matokeo ya uchaguzi mkuu ni kupewa shida kweli ili kuongeza ushahidi kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki? Ni vyema kila chama kikapewa nakala ya programu hiyo na kwenda kui-test na kujionea ufanyaji wake kazi, na ikiwezekana waitumie kujumulisha matokeo yatakayo bandikwa vituoni na baadae kulinganisha na yale yatakayotangazwa na NEC kwa ajili ya more reliability.
Pia kila chama kikiwa na nakala ya programu hiyo itakuwa rahisi kuondoa shaka ya kuwa na version nyingi za programu hiyo kwani ni rahisi kwa version moja kuwa na 'plug-in'/ 'patch' ambayo inaweza kubadili upepo wa matokeo. Lakini kuishia kuonyeshwa programu na kuondoka bila nakala ni rahisi kwa NEC kuonyesha version A na kutumia version B.
Source: Mwananchi Communication Limited (NEC: Chadema inatupa shida - Kitaifa | Mwananchi) and my views (myself).