mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,137
- 58,869
hivi kwa nini siwezi kaa hata dk30 bila kuingia jf.
Kwasababu unabundle la chuo mkuu.hivi kwa nini siwezi kaa hata dk30 bila kuingia jf.
Una ka ugonjwa na jfhivi kwa nini siwezi kaa hata dk30 bila kuingia jf.
Dar ni mkoa wenye hadhi ya jiji,tofauti na mikoa mingine haina hadhi ya jiji labda mbeya,mwanza na arusha kidgo vina karibia hadhi ya jiji.Hivi kwani dar siyo mkoa?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hakuishi vitukohivi kwa nini siwezi kaa hata dk30 bila kuingia jf.
Hapana huyu atakuwa katumia chaarusha c bure, kama ndugu zako wakitoka mikoani huwa wanafanya hii kitu basi inawezekana kwenu wote ni ustarabu wenu kujisaidia kwenye mabakuli kwakwel
Kwasababu Muda wote unawaza mitandao na hauko busy sana kushughulikia mambo yako yanayoweza kukuingizia kipato au kazi zako ni zakawaida sana sio zinazohotaji Muda zaidi kuziendeshahivi kwa nini siwezi kaa hata dk30 bila kuingia jf.