Ndugu zangu!

Mmmmh...!! Ngumu kuamini labda kama pocket money alikuwa anapewa milioni kwa mwezi.
 
Lakini hajatuambia juu ya wazazi wake(huyo dada) mi nampa 50% ya ukweli kwa 50% ya uongo akileta story yote ndo marks zitahama aidha kwenda kwenye ukweli au uongo. Hii ndio huwa principle yangu I never underrate things before gathering sufficient information
 
Awache urongo huyo raia aseeeeee na sisi wenyewe 2mesoma from vidudu mpaka university,huwezi kujenga nyumba kwa pocket money miaka hii hapo dsm labda mtwara au lindi tena nyumba ya vyumba viwili na bado finishing hapo mimi naona anachojaribu kukwambia ni "hey am dada jambazi utauweza mziki wangu" na wewe ulivyo mdwanzi badala ya kumjudge hivyo unaanza kumuona kama mtu anayefaa kuwa rafiki piga chini halafu delete her hadi kwenye recycle bin damn
 

Hahahaha chizi kweli wewe nimecheka balaa
 
Leo nitampigia simu jioni ili niiupdate hii story.
 

ndo yule wa UN nini kama sio huyo ww mtt inabidi uolewe na mengi au bakheresa maana wengine hawatakuweza lazima wawe wana pesa za pembe tatu Tanzania, South Africa na China!
 
Nimempigia simu weeeeee, hakupokea, nikamtext kimya. Sasa najiuliza au kasoma hii thread?!
 

Hahahaaaaa
 
Lara 1 nauadmire UBONGO wako saaaaana.. I do wish nkuone Cku moja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…