Ndugu zangu wananinunia, nifanyeje?

Ndugu zangu wananinunia, nifanyeje?

nkoi

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Naomba ushauri jamani naishi na mama yngu mzazi na wadogo zangu pia wanangu sasa maza kila cku anazira kula mara anashinda haongei na mtu nikimuliza hasemi je nifanyeje
 
duh pole mkuu swali wewe ni jinsia gani? unaishi na mume/mke? ni ghafla hiyo tabia imeanza au? labda kuna mtu amemuudhi mama na ameona akikwambia ataharibu mahusiano yenu.
 
Naomba ushauri jamani naishi na mama yngu mzazi na wadogo zangu pia wanangu sasa maza kila cku anazira kula mara anashinda haongei na mtu nikimuliza hasemi je nifanyeje

Utakuwa una damu ya CCM si bure....wash out!!!
 
duh pole mkuu swali wewe ni jinsia gani? unaishi na mume/mke? ni ghafla hiyo tabia imeanza au? labda kuna mtu amemuudhi mama na ameona akikwambia ataharibu mahusiano yenu.

Njoo ujibu haya maswali kwanza
 
Wewe, mama yako, wadogo zako nawanao mnaishi wapi...kwako au kwenu?(kwa mama)
mama ni mzee sana?
 
Kuna maswali ukiyajibu nitachangia lasivyo andaa vizuri kikatio chako ili enl aingie ikulu.
 
Mtendeeni yaliyo haki. Mimi huwa ndio silaha yangu na kama hutoona wema wangu sina muuuda wa kukuabudu naendelea na 50 zangu fasta.... kutafuta ngawira kunihenyeshe na wewe tena unayetegemea mimi inichoshee haaata siwezi.
 
Ana umri gani? Atakuwa ana roho mbaya sana...
 
unaishi na wanao kwa mama yako au mama yako ndio anaishi kwako...!!

kama unaishi kwa mama hiyi ndio sababu ya kununiwa hasahasa ikiwa hao wanao baba yao hayupo yapo...

toa maelezo vizuri aliko baba watoto wako ndio ushauriwe vizuri.... usije ikawa ijaza tu wajukuu kwa mama halafu kila mmoja ana baba yake
 
Sio bure mama ananuna..hujajieleza vilivyo watu wajue wakushaurije
 
Back
Top Bottom