Ndugu zangu wana jf nawaomba!

Ndugu zangu wana jf nawaomba!

2 pacha

Senior Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
136
Reaction score
44
jamani ndugu zangu wana jf nilikuwa naomba msaada wenu kwa yoyote yule ambaye anaweza kunisaidia. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20, naishi dar es salaam, nimehitimu elimu ya secondar mwaka 2011 kwa bahat mbaya cjafanikiwa kujiunga na advanc, ni kijana mwenye nguvu na nina afya njema sina tatizo lolote juu ya afya yangu.na pia ni kijana mwenye maadili mazuri,
Kutokana na maelezo yangu hapo juu nilikuwa nawaambia ndugu zangu kuwa mm shida yangu ni kazi, natafuta kazi, ajira au kibalua chochote kile, sichagui kazi, naomba kma kuna mtu anahitaj kijana anisaidie nipo tayar,
NB;nipo tayar kuja na nakala zozote zile zinazonitambulisha ikiwemo barua ya mjumbe pamoja na mwenyekit wa mtaa, kwa mawasiliano 0685041931
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom