Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

Jaribu kufika pale The Slipway Msasani kuna wahindi pale wana duka lao. nina ushahidi kwamba ni waaminifu
 
Tunampoteza kiungo mchezeshaji kweny dimba letu kuu la jukwaa la mahusiano

Nenda baharia nenda tutakutana kweny huko huko
 
Tunampoteza kiungo mchezeshaji kweny dimba letu kuu la jukwaa la mahusiano

Nenda baharia nenda tutakutana kweny huko huko
Wahuni sioi jamani 😁😁😁 tuko pamoja masela. Ni mbinu tu za kumuingiza mtu kingi
 
Kama uko Dar....nenda mitaa ya Mnazi Mmoja kule utapata dhahabu za ukweli, ni hela yako tu.
 
Ongera mkuu ila kumbuka mwaka huu sio wa kuishi kwa raha kwa wana ndoa alisha sema Bwana yule
 
Dhahabu ukiibana kwa pliers inapondeka,

Ukiitilia acid itang'ara zaidi, hata uliiweka kwenye maji itaongeza mng'ao.

Dhahabu haipungui nguvu ya rangi ilonayo. Kwamba unapoikwangua ile njano haifutiki wala kupungua.

Kama unataka kujua hiyo ni dhahabu, kipimo kingine ni kwa kutumia Density.
 
Kama uko Dar nenda Indira Gandhi street maduka yako mengi, kama uko Ar nenda metropole street. Huwa naamini maduka ya wahindi zaidi dhahabu zao ni halisi, kuanzia 21k ni poa
 
Kuna kitu kimoja ambacho kinapandisha thamani ya gold nacho ni purity. Unaweza kuona gold ina ng'aa lakini purity ipo below 60% asilimia inayobaki ni copper, silver na iron.

Kama utaweza nenda kwenye duka ambalo wana purity machine, unanunua kitu kulingana na ubora wake. Inatakiwa iwe juu ya 85% gold.

Angalizo, purity machine inaweza kuchezewa.
 
Asee umenikumbusha Chemistry O-level.

Calculate :

Percentage of Putirty (in sample given)

Percentage of Impurity (in sample given)
 
Sonara za uhakika Indira Ghandhi street.
Huko utapata vyote unavyotaka.

Zamani iliyokuwa inatrend ni Yakub Jewelers sijui kwa sasa.
 
Tayari umenaswa na utelezi, ukitoka hapo MC Garab anakusubiri
 
Nenda mtaa wa Indira ghandhi ukitokea mnazi mmoja kuna maduka wanauza Vito vya thamani wengine wana miaka hadi 40 kwe game...maduka nnayoyaelewa exotic jewellers au queens gems hautojilaumu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…