Ndugu Polepole, punguza Majivuno! Duniani tunapita

Hawa watu sio bure mi naona hata ndumba za chato zinatumika kuwafanya wapumbavu sana. Pole na bashite naiona kma misukule ya pombe.
 
Hahahaa...... Umenikumbusha Masau Bwire msemaji wa Ruvu JKT
 
Ukishakua mwana ccm akili na busara unafungia kabatini kule unakua kama mfu
 

Mungu Ibariki Tanzania
 
Nimejaribu kufanya skimming sijaambulia chochote cha maana. Polepole kawaambia watu wafuate sheria, ye anasema anawatisha. Sielewi jamaa alitaka polepole aseme nini pale genge la watu linapoibuka na kuja na story za kupika na taharuki ktk jamii.

Ninaomba rejea Barua ya pole pole isome tena.
 
Nimejaribu kufanya skimming sijaambulia chochote cha maana. Polepole kawaambia watu wafuate sheria, ye anasema anawatisha. Sielewi jamaa alitaka polepole aseme nini pale genge la watu linapoibuka na kuja na story za kupika na taharuki ktk jamii.
Hivi ni kweli jamii uwa inataharuki au ni kichaka cha wanasiasa? Hii kusema jamii intaharuki huwa sifahamu hasa nani huwa anataharuki. Any way tukirudi kwenye mada mimi sikuelewa, laba angeweka na picha.
 
uko sawa Mwandambo, lakini kwa ubinafsi huu,huyo mwenyewe atapatikana kweli?maana kama ni mwenyewe yupo,yupo pale magogoni ataruhusu mwenyenchi awe mwingine?
 
Kujaribu kumpa mawaidha huyo mtu ni kujitaabisha bure. Amepotoka mno. Mtu anayesimamia na kutetea ununuzi wa wanasiasa na marudio ya chaguzi feki, kwa gharama kubwa ya walipa kodi maskini bila huruma utamwambia nini? Ni sawa na kumkanya shetani
 
Ana pesa haezi sikia kwa sasa subiri Apigwe chini atayatafuta maneno haya.
 
Tatizo hujajua kuwa mtu akiwa ndani ya ccm imani kwa MUNGU inaisha ndio maana Bashiru yule Dokta Msomi sio huyu Daktari katibu wa ccm ni tofauti kabisa, Pole pole wa katiba ni tofauti na Slow Slow wa Uenezi ccm, Kitila Mkumbo wa Chadema na Act ni tofauti na wa ccm na Mwisho kabisa Tumbili yule Nccr sio huyu Kafulila Wa Ccm wote hawa wamekuwa watu tofauti kabisaaa.




Alipongatuka Nyerere Shetani alipewa kiti ccm hivo kila anaeingia huko roho ya ushetani lazima uwepo. Nyerere alikuwa anajitahidi kupambana na shetani ila wengine wote wameruhusu awakotool kama mkokoteni.

Na haka kaushauri yako iliyojaa kulia lia wala hata haiwatishi wala kuwashtua labda useme unasoma albadiri hapo utawaona Polisi ccm wakifanya kazi yao. Ww endelea kumwamini MUNGU CCM iache na ushetani wake. Kumbuka Kingunge baada ya kutoka ccm ndio akamua kumrudia MUNGU na kuwa mkatoliki. Huyo shetani aliyekuwa amemfunga baada ya kumuachia sasa ameamua kumfunika kila anaeingia huko
 
Hii simu yako ya vodafone siku ikinasa kwenye FRP naomba unione, hua zinasumbua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…