Ndugu Polepole, punguza Majivuno! Duniani tunapita

Hawa watu sio bure mi naona hata ndumba za chato zinatumika kuwafanya wapumbavu sana. Pole na bashite naiona kma misukule ya pombe.
 
Humphrey Polepole

Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe.

Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena.

Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu ukufikie kwasababu najua upo humu unafuatilia kila linalojadiliwa.

Barua yako ya leo kuhusu andiko lilosambaa katika mitandao ya kijamii ambalo amelikana Katibu mkuu wako na wewe kuandika Barua ili KULIKANA ZAIDI zimejaa vitisho na MAJIVUNO ni tamko ambaolo utafikiri limeandikwa na Malaika Mikaeli kwenda kwa wanadamu akimkumbusha maulana kwanini hajawapeleka kuzimu watu waliompinga Yesu Kristu hii ni uonevu kwa wenye imani tofauti kaka yangu!!!!!!!!!!!!

Kaka/Baba yangu Hamphrey polepole Moto utakao kuchoma wewe huko Tunakoita Jehanamu naamini utakua mkali kuliko ambao utamchoma mtu yeyote ambaye naweza kufikiri mimi

Polepole Mungu alikupa kipaji, Mungu alikuleta duniani kwa makusudi maaalum, Umenusurika ajali kadhaa kwasababu bado hujatimiza kusudio la mwenyezi Mungu kukuleta wewe duniani,

Pole pole wewe una Utu, wewe ni mttetezi wa wanyonge kuliko wanachama wengi wa upinzani tunaowajua, pole pole una akili za za ma genius wengi sana ila kwasasa umebadilika sana kwa vitu unavyofanya mpaka mwanangu anakushangaa. Uliposema kuhusu wito wa Bashiru kwa membe ni wa kawaida sijuimimi mwanangu alinihoji nikakosa Jibu, hivi Baba/kaka ulikuwa unawaza unawapa maelezo watu wa aina gani?

Jitafakari kaka/Baba yangu Dunia inapita haya maisha ya dunia ni ya mpito na Maisha yetu ya Milele ni ya Mbinguni! tuliiishe neno ndugu yangu! Mungu yupo.

Humphrey Polepole mwanaharakati jitafutie siku moja kaa tafakari maisha yako kama yapo sawa nenda kampe Mungu sadaka ila kama utaona kuna mahali umeegemea kidunia zaidi jirekebishe.

Wana JamiiForums, hii ni Dunia wote Tupo Njiani tunapita, Kuna maisha zaidi ya hapa kila uchao tumshukuru Mwenyezi Mungu,

Ambao msio amini uwepo wa Mungu naombeni samahani sana tena sana. endeleeni na Imani yenu ila mimi kwa NILIYO YAONIA DADIRIKI KUSEMA . MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO

MUNGU YUPO LEO NA KESHO NA JANA NA NAMPIGANIA KILA MWENYE HAKI TUKESHE TUKISALI
Hahahaa...... Umenikumbusha Masau Bwire msemaji wa Ruvu JKT
 
Ukishakua mwana ccm akili na busara unafungia kabatini kule unakua kama mfu
 
Ndugu Watanzania, hapa Mimi sioni kama tatizo ni Polepole au MAGUFULI au CHAMA CHA MAPINDINDUZI. Binadamu yeyote kwa asiri ni mbinafsi, hata mimi ninayeandika hapa nina element hizo hizo za ubinafsi. Mtazame Nape alipokuwa ndani ya system na alipotoka nje ya system, ni mtu aliyebadirika SANA mpaka anapata sapoti ya watu aliowamiza.
Leo linajitokeza kundi la akina Membe, tayari watu wanaoamini kwamba labda hawa watatuletea nafuu wameshaanza kushangilia kama vile Membe yupo kwa ajili yao. Na makundi masirahi yameshajitokeza, hawa NI wale wanaoamini kwamba Membe akiingia pale hawakosi ulaji. Hata wapinzani ukiangalia nao wanajipanga kivyama ndo maana hata Lowasa alipohamia CHADEMA walijikuta wakisapoti hata wale walikuwa wakimchukia walilazimika, sababu waliamini kwamba ataifanikisha CHADEMA kuingia ikulu. Hivyo ubinafsi ni tatizo.
NINI MAONI YANGU
Nchi ili iweze kusimama lazima iwe na mwenyewe, huyu ANAWEZA kuwa mfalme au familia, au baraza maalum la wazee mfano kama Nyerere faundation ambalo hata raisi anapofanya teuzi fulani ziwe zinapitiwa kabla ya kutangazwa hadharani baraza hilo linaweza kuwa la maraisi wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, wakurugenzi wa Usalama wastaafu, wakuu wa majeshi wastaafu, wenyeviti wa vyama wastaafu na wengineo. Hawa wote wanaweza kuwa chini ya uenyekiti wa raisi anayestaafu. Hawa wamtazame raisi anakoipeleka nchi. Vyeo kama mkuu wa mjeshi, mkuu wa usalama wa taifa, au IGP na takukuru atapoteuliwa basi raisi apendekeze majina kadhaa ili yapitiwe na hawa wazee. Nchi inapokuwa na mwenyewe raisi hawezi kuwa mkurupukaji katika maamuzi. Hata ile hofu ya kisitawale CHAMA kingine ZAIDI ya CCM unaweza kuondoka.
Nchi isiyo na mwenyewe raisi anakuwa kila kitu matokeo yake yanakuwa hovyo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Nimejaribu kufanya skimming sijaambulia chochote cha maana. Polepole kawaambia watu wafuate sheria, ye anasema anawatisha. Sielewi jamaa alitaka polepole aseme nini pale genge la watu linapoibuka na kuja na story za kupika na taharuki ktk jamii.

Ninaomba rejea Barua ya pole pole isome tena.
 
Nimejaribu kufanya skimming sijaambulia chochote cha maana. Polepole kawaambia watu wafuate sheria, ye anasema anawatisha. Sielewi jamaa alitaka polepole aseme nini pale genge la watu linapoibuka na kuja na story za kupika na taharuki ktk jamii.
Hivi ni kweli jamii uwa inataharuki au ni kichaka cha wanasiasa? Hii kusema jamii intaharuki huwa sifahamu hasa nani huwa anataharuki. Any way tukirudi kwenye mada mimi sikuelewa, laba angeweka na picha.
 
Ndugu Watanzania, hapa Mimi sioni kama tatizo ni Polepole au MAGUFULI au CHAMA CHA MAPINDINDUZI. Binadamu yeyote kwa asiri ni mbinafsi, hata mimi ninayeandika hapa nina element hizo hizo za ubinafsi. Mtazame Nape alipokuwa ndani ya system na alipotoka nje ya system, ni mtu aliyebadirika SANA mpaka anapata sapoti ya watu aliowamiza.
Leo linajitokeza kundi la akina Membe, tayari watu wanaoamini kwamba labda hawa watatuletea nafuu wameshaanza kushangilia kama vile Membe yupo kwa ajili yao. Na makundi masirahi yameshajitokeza, hawa NI wale wanaoamini kwamba Membe akiingia pale hawakosi ulaji. Hata wapinzani ukiangalia nao wanajipanga kivyama ndo maana hata Lowasa alipohamia CHADEMA walijikuta wakisapoti hata wale walikuwa wakimchukia walilazimika, sababu waliamini kwamba ataifanikisha CHADEMA kuingia ikulu. Hivyo ubinafsi ni tatizo.
NINI MAONI YANGU
Nchi ili iweze kusimama lazima iwe na mwenyewe, huyu ANAWEZA kuwa mfalme au familia, au baraza maalum la wazee mfano kama Nyerere faundation ambalo hata raisi anapofanya teuzi fulani ziwe zinapitiwa kabla ya kutangazwa hadharani baraza hilo linaweza kuwa la maraisi wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, wakurugenzi wa Usalama wastaafu, wakuu wa majeshi wastaafu, wenyeviti wa vyama wastaafu na wengineo. Hawa wote wanaweza kuwa chini ya uenyekiti wa raisi anayestaafu. Hawa wamtazame raisi anakoipeleka nchi. Vyeo kama mkuu wa mjeshi, mkuu wa usalama wa taifa, au IGP na takukuru atapoteuliwa basi raisi apendekeze majina kadhaa ili yapitiwe na hawa wazee. Nchi inapokuwa na mwenyewe raisi hawezi kuwa mkurupukaji katika maamuzi. Hata ile hofu ya kisitawale CHAMA kingine ZAIDI ya CCM unaweza kuondoka.
Nchi isiyo na mwenyewe raisi anakuwa kila kitu matokeo yake yanakuwa hovyo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
uko sawa Mwandambo, lakini kwa ubinafsi huu,huyo mwenyewe atapatikana kweli?maana kama ni mwenyewe yupo,yupo pale magogoni ataruhusu mwenyenchi awe mwingine?
 
Kujaribu kumpa mawaidha huyo mtu ni kujitaabisha bure. Amepotoka mno. Mtu anayesimamia na kutetea ununuzi wa wanasiasa na marudio ya chaguzi feki, kwa gharama kubwa ya walipa kodi maskini bila huruma utamwambia nini? Ni sawa na kumkanya shetani
 
Ana pesa haezi sikia kwa sasa subiri Apigwe chini atayatafuta maneno haya.
 
Tatizo hujajua kuwa mtu akiwa ndani ya ccm imani kwa MUNGU inaisha ndio maana Bashiru yule Dokta Msomi sio huyu Daktari katibu wa ccm ni tofauti kabisa, Pole pole wa katiba ni tofauti na Slow Slow wa Uenezi ccm, Kitila Mkumbo wa Chadema na Act ni tofauti na wa ccm na Mwisho kabisa Tumbili yule Nccr sio huyu Kafulila Wa Ccm wote hawa wamekuwa watu tofauti kabisaaa.

Alipongatuka Nyerere Shetani alipewa kiti ccm hivo kila anaeingia huko roho ya ushetani lazima uwepo. Nyerere alikuwa anajitahidi kupambana na shetani ila wengine wote wameruhusu awakotool kama mkokoteni.

Na haka kaushauri yako iliyojaa kulia lia wala hata haiwatishi wala kuwashtua labda useme unasoma albadiri hapo utawaona Polisi ccm wakifanya kazi yao. Ww endelea kumwamini MUNGU CCM iache na ushetani wake. Kumbuka Kingunge baada ya kutoka ccm ndio akamua kumrudia MUNGU na kuwa mkatoliki. Huyo shetani aliyekuwa amemfunga baada ya kumuachia sasa ameamua kumfunika kila anaeingia huko
 
Sasa mbona hujasema kosa lake?umeishia kunung'unika tu,nakupa pole Sana kwa kupoteza muda wako kumshauri mfuasi wa shetani huyo,unamweleza kuhusu Mungu na mbingu, huyo? Huyo mungu wake ni ccm na mbingu yake ni Tanzania.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hii simu yako ya vodafone siku ikinasa kwenye FRP naomba unione, hua zinasumbua sana.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom