The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,209
Wao wakiwa wanafanya nini?Inatakiwa uwe na fungu la kuwapa tu
Wanakaa wakizaliana na kukusengenya unavuowagawia Kwa kupima. Ndugu changamoto sanaWao wakiwa wanafanya nini?
Hii ni sawa na Baba au Mama kumkopesha Mtoto au Mtoto kumkopesha Baba/Mama yake akitegemea kitarudi, oya sahau ukimpa umempa wewe km unataka kumpa mpe tu ila usitegemee kwamba itarudi Mama kamkopesha mwanae zaidi ya 30M akitegemea itarudi hajarudishiwa hata 100 huu unaelekea mwaka wa 10 hana pa kwenda kumshtakiKama ni ndugu yako
Usimkopeshe HELA
Wewe mpe tu.
Maana kama sio mwaminifu
Hatokulipa
Na itakuwa mwanzo wa uadui.
Kumbuka
muulize mleta mada swali hiliWao wakiwa wanafanya nini
Ashtaki nini mbona kwenye malezi ametumia zaidi ya hizoHii ni sawa na Baba au Mama kumkopesha Mtoto au Mtoto kumkopesha Baba/Mama yake akitegemea kitarudi, oya sahau ukimpa umempa wewe km unataka kumpa mpe tu ila usitegemee kwamba itarudi Mama kamkopesha mwanae zaidi ya 30M akitegemea itarudi hajarudishiwa hata 100 huu unaelekea mwaka wa 10 hana pa kwenda kumshtaki
Huwezi mpa msaada asiyekuombaNa wewee km unazo hzo pesa kwann usubiri mpk nduguyo akukope badala yakumpaa tu mkuu😀
Wewe unaweza ukampa mwanao 30M hizi hapa bila kutegemea kwamba ipo siku atarejesha hata hela ya mafuta ya taa ya 500 na hakupi hata 100 mbovu, unaweza?Ashtaki nini mbona kwenye malezi ametumia zaidi ya hizo