Ndugu hakopeshwi anawezeshwa

Ndugu hakopeshwi anawezeshwa

Na wewee km unazo hzo pesa kwann usubiri mpk nduguyo akukope badala yakumpaa tu mkuu😀
 
Hata rafiki wa karibu sana nawe au mfanya kazi mwenzio au bosi wako huwa ni changamoto kubwa sana, kama hujachukua tahadhari.
 
Kuna ndugu yangu alianza kukopa 150k, baada ya wiki akashuka mpka 40k nikamwambia nina 20k nikamtumia, huu mwezi wa pili hajalipa, mpaka maawasiliano yamefifia kama sio kuisha!
 
Kama ni ndugu yako

Usimkopeshe HELA

Wewe mpe tu.

Maana kama sio mwaminifu

Hatokulipa

Na itakuwa mwanzo wa uadui.

Kumbuka
Hii ni sawa na Baba au Mama kumkopesha Mtoto au Mtoto kumkopesha Baba/Mama yake akitegemea kitarudi, oya sahau ukimpa umempa wewe km unataka kumpa mpe tu ila usitegemee kwamba itarudi Mama kamkopesha mwanae zaidi ya 30M akitegemea itarudi hajarudishiwa hata 100 huu unaelekea mwaka wa 10 hana pa kwenda kumshtaki
 
Ashtaki nini mbona kwenye malezi ametumia zaidi ya hizo
 
Ashtaki nini mbona kwenye malezi ametumia zaidi ya hizo
Wewe unaweza ukampa mwanao 30M hizi hapa bila kutegemea kwamba ipo siku atarejesha hata hela ya mafuta ya taa ya 500 na hakupi hata 100 mbovu, unaweza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom