Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo.

Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya umma, matokeo yake mmekalia mipasho, eti watoto wa mujini, mnajidanya.

Achieni vijana nafasi, hamtaleta positive yoyote ndani ya CCM zaidi ya kutumikia wanaoutaka urais, mnatia huruma sana, hata mikutano yenu ni baridi sana, sasa tumehamia Arusha, hatuna habari na wapiga vijembe.

Sio kweli.
 
Siyo Tano tu.Mimi naweza kuorodhesha zaidi ya 20 huku nimefumba macho.
1. Kule Bukoba Kuna mwananchi alitapeliwa gari,Makonda akamsaidia kupata.
2. Mwanza alipolalamikiwa kuwa mwili wa Marehemu umeshikiriwa mochuari,aliagiza ukachukuliwe na kuzikwa na akatoa gari lake.
3. Tarime suala la bodaboda alilitatua,
4. Tanga alitatua tatizo la zahanati,
5. Alitatua tatizo la Mstaafu ambaye hakuwa amelipwa kwa muda mrefu kule Iringa,
6. Iringa huko huko alitatua tatizo la Mama mmoja alikuwa anasumbuliwa kupewa kibali Cha ujenzi na mwingine alidhurumiwa kiwanja,
7. Kule Tunduma alitatua kero ya bibi mmoja alidhurumiwa nyumba na viongozi wa CCM,
8. Sumbawanga aliagiza wananchi waliokuwa wanadai Halmashauri kwa muda mrefu kulipwa,
9.Moshi aliagiza Baraza la Madiwani wakae na kujadili kiasi cha ushuru wa solo,likakaa na kuamua kupunguza,
10. Kigoma alimsaidia mtoto aliyekuwa anatunza familia akiwemo Mama yake mzazi

Kwa kweli alitatua kero nyingi sana.Na bahati nzuri alikuwa anahakikisha ama anakabidhi mwenyewe fedha kwa kutoa za kwake au alizochangisha.
Na alihakikisha anakabishi mwenyewe nyaraka baada ya kuagiza ziandaliwe.

Kwa kifupi Makonda ni mashine ya uhakika.Ana akili na mbunifu sana.
Watu wapo wapo tu,wakiona mtu anafanya kazi kama kiongozi anavyotakiwa kuwa wananuna.

Mtu kama mwenezi wa chama hayo ndio majukumu yake.
 
Mama apunguze kuendekeza wale wazee wastaafu Makonda alikua mtu sahii kwake yeye ameendekeza wale wastaafu ambao maslai yao kwanza nchi baadae

Afadhali hao akina Nchimbi kuliko mnafiki muuaji Bashite. Bashite ana mvuto kwa wanafiki waovu wenzake, siyo kwa watu wema.
 
Hawa mda wao umeshapita wakina makala na Chimbi chama kiliitaji makonda kuna uzembe na uwajibikaji kwenye taasisi za Umma

Hakuna mtu mwema, mkweli wa nafsi na mwenye akili timamu anayeweza kusema anamhitaji yule muuaji kwa jambo lolote jema. Hilo jambazi lenu ni asset kwa vikundi vya ujambazi na mauaji, siyo kwenye uongozi.
 
Mngese nyuma ya keyboard
 
Afadhali hao akina Nchimbi kuliko mnafiki muuaji Bashite. Bashite ana mvuto kwa wanafiki waovu wenzake, siyo kwa watu wema.
Fungueni kesi mahakamani tumechoka na hii ngonjera mwaka wa nne sasa,au unatumikia kafiri?
 
Ulitaka wapayuke payuke kama yule ze Comedy aliyetumbuliwa majuzi kati ndugu.
 
CCM sio chama cha kianaharakati au magenge ya wahuni kama chadema.

Waliokuwa na siasa za kihuni wote wanayumba, akina Sabaya na Makonda, maji kupwa maji kujaa
Lugha za matusi hawamu YA JK nq JPM tuliziona kwa Chadema dhidi ya ccm ila hawamu hii Lugha za matusi wanatoa wana Ccm,alafu cha kushangaza wanatukanana wenyewe kwa Wenyewe.
 
Ulitaka wapayuke payuke kama yule ze Comedy aliyetumbuliwa majuzi kati ndugu.
Watu hawataki wapayukaji wanataka wajenga hoja na wasema ukweli,kama unayo akili iko sawa sawa na wewe haupayuki unajenga hoja...Linganisha mikutano ya Makonda akiwa Peke yake alafu Linganisha Mikutano Ya Nchimbi akiwa na Makalla.
 
Mi mkiniwekea kero 5 tu alizotatua Makonda najitoa JF.
Makonda sio mtatua kero mzee baba,weka akili yako Vizuri anayetatua kero ni Serikali iliyoko madarakani,Makonda kazi yake ni kuwakumbusha watendaji wa serikali kutenda kulingana na Wadhifa wao...Kwa ufupi alikuwa anakikumbusha chama chake wafanye kulingana na irani yao wasikae maofisini kupiga soga na kupokea tu Mishahara.
 
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo.

Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya umma, matokeo yake mmekalia mipasho, eti watoto wa mujini, mnajidanya.

Achieni vijana nafasi, hamtaleta positive yoyote ndani ya CCM zaidi ya kutumikia wanaoutaka urais, mnatia huruma sana, hata mikutano yenu ni baridi sana, sasa tumehamia Arusha, hatuna habari na wapiga vijembe.
Sawa Ofsa nimekuelewa
 
Attachments

  • IMG_20240419_114427.jpg
    IMG_20240419_114427.jpg
    701.3 KB · Views: 1
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo.

Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya umma, matokeo yake mmekalia mipasho, eti watoto wa mujini, mnajidanya.

Achieni vijana nafasi, hamtaleta positive yoyote ndani ya CCM zaidi ya kutumikia wanaoutaka urais, mnatia huruma sana, hata mikutano yenu ni baridi sana, sasa tumehamia Arusha, hatuna habari na wapiga vijembe.
Wewe ndie humuelewi........ Waulize wenzio hapo kwenye kijiwe cha kahawa
 
Kwenye maisha inabidi ujifunze kuweka Standards, unatakiwa utoke hatua bora uenze hatua bora zaidi.

To be honest Samia hana itikadi au standards, she is just their to fill the place,

Makonda alikuwa mkubwa kuliko Nafasi na Sekraterieti yote, Samia alitakiwa amteue Makonda serikalini moja kwa moja au asimteue kabisa.

Sasa kilichotokea ni kwamba viatu vya Makonda vimekosa mvaaji kwa kuwa vikubwa sana, now Nchimbi anahutubia watu 100 waliovaa nguo za CCM na hakuna mwanachi anayekuwa tayari kuwasikiliza wanawaona kama wapiga kelele.

Ukiangalia mikutano ya CCM kwa sasa ni kama Nchimbi na Makalla wamesusiwa, I wonder kama hawa watu wataweza purukushani za Uchaguzi 2025

Hebu waza mtu kama Makalla anaweza kujenga hoja na kuelezea Uzuri wa Ujamaa na Katiba kama Polepole, anaweza kuelezea Masuala ya Kiutawala kuliko Makonda.
Huwezi kupinga team jpm halafu ukabaki salama mbele ya wananchi. Wanajaribu kuonesha sympathy kwa wapinzani
 
Hicho kipindi Cha kina Polepole na Makonda chini ya dhalimu magu si ndio tulishuhudia chaguzi za kishenzi kupita maelezo?
Mbona hamkuenda mahakamani. Basi angalau mngeshinda majimbo kadhaa, mmepigwa majimbo yote! Mlikuwa mmelala? Kubalini tu jpm alipiga kazi na wananchi wakamkubali
 
Mbona hamkuenda mahakamani. Basi angalau mngeshinda majimbo kadhaa, mmepigwa majimbo yote! Mlikuwa mmelala? Kubalini tu jpm alipiga kazi na wananchi wakamkubali
Mahakama ipi, hizi zinazopigiwa simu Moja tu? Wananchi wamuelewe kisha apore uchaguzi, uza ubongo huo wakachemshiwe mbwa, maana ni hasara kuendelea kuwa nao.
 
Makonda sio mtatua kero mzee baba,weka akili yako Vizuri anayetatua kero ni Serikali iliyoko madarakani,Makonda kazi yake ni kuwakumbusha watendaji wa serikali kutenda kulingana na Wadhifa wao...Kwa ufupi alikuwa anakikumbusha chama chake wafanye kulingana na irani yao wasikae maofisini kupiga soga na kupokea tu Mishahara.
Akishindwa kuelewa haya madini basi huyo jamaa ni msukule halisi
 
Back
Top Bottom