Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 331
- 379
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo.
Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya umma, matokeo yake mmekalia mipasho, eti watoto wa mujini, mnajidanya.
Achieni vijana nafasi, hamtaleta positive yoyote ndani ya CCM zaidi ya kutumikia wanaoutaka urais, mnatia huruma sana, hata mikutano yenu ni baridi sana, sasa tumehamia Arusha, hatuna habari na wapiga vijembe.
Sio kweli.