Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.

Vichaa huwaona watu wenye akili ndiyo vichaa, wanashangaa kwanini hawaokoti makopo wakati yametupwa!...namshukuru Mungu ndugai hakuwa baba yangu, ningeona haya,,,
.....bila kuwasahau wabunge wa CHADEMA walioenda shule kama Joseph Mbilinyi (sugu) na Godbless Lema.
Punga limemsifu Mwigulu akili mkichwa ni ngezungumzia zaidi juu ya herufi tatu za naibu spika lakini kuna mods ananipiga bani sielewe kosa ni nini?mimi sijaelewa, amemsifia kwa lipi?
Hahahahaha! so what?Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.