Ndovu wapungua kwa kasi Tanzania

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,734
Ndovu wapungua kwa kasi Tanzania

    • 12 Januari 2016
130807091455_cn_african_elephant_tusk_640x360_reuters.jpg
Image copyrightREUTERS

Image captionMatokeo yanaonyesha kuwa ndovu walipungua kutoka 109,000 mwaka 2009 hadi ndovu 51,000 mwaka 2015

Matokeo kutokana na shughuli kubwa zaidi ya kuhesabu ndovu katika historia ambayo ilimazika juzi nchini Tanzania, yanaonyesha kuwa kuna kupungua kwa kasi kwa idadi ya ndovu kutoka ndovu 109,000 mwaka 2009 hadi ndovu 51,000 mwaka 2015.
Shughuli hiyo ni mpango ulidhaminiwa na tajiri raia wa marekani Paul Allen ulio na nia ya kuelewa zaidi idadi ya ndovu kote barani Afrika.
Tanzania ni moja ya nchi zilizoathirika zaidi na uwindaji haramu kufuatia kuwepo kwa biashara haramu ya pembe za ndovu nchini China.

Ndovu wapungua kwa kasi Tanzania - BBC Swahili
 
Hivi tokea tumesikia hadithi za pembe na ngozi za wanyama pori kukamatwa huko majuu na kuonyesha kwamba zimepitia ktk bandari ya Dar es salaam, Ni hatua gani serikali imechukua na kwanini taarifa na hatua zilizo chukuliwa haziwafikii wananchi. Au mnataka kutuambia hawa wanyama pori ni wa watu binafsi na watanzania hawahusiki kama Eskcrozie. Hii nchi ni hovyo aisee. Tusipo kuwa na sheria kama za Uarabuni za kuwanyonga majangili tutaishia kubaki na nzi tu na wanyama watatoweka kabisa.
 
Ndovu wapungua kwa kasi Tanzania

    • 12 Januari 2016
130807091455_cn_african_elephant_tusk_640x360_reuters.jpg
Image copyrightREUTERS

Image captionMatokeo yanaonyesha kuwa ndovu walipungua kutoka 109,000 mwaka 2009 hadi ndovu 51,000 mwaka 2015

Matokeo kutokana na shughuli kubwa zaidi ya kuhesabu ndovu katika historia ambayo ilimazika juzi nchini Tanzania, yanaonyesha kuwa kuna kupungua kwa kasi kwa idadi ya ndovu kutoka ndovu 109,000 mwaka 2009 hadi ndovu 51,000 mwaka 2015.
Shughuli hiyo ni mpango ulidhaminiwa na tajiri raia wa marekani Paul Allen ulio na nia ya kuelewa zaidi idadi ya ndovu kote barani Afrika.
Tanzania ni moja ya nchi zilizoathirika zaidi na uwindaji haramu kufuatia kuwepo kwa biashara haramu ya pembe za ndovu nchini China.

Ndovu wapungua kwa kasi Tanzania - BBC Swahili
Kwani mshamuuliza Kinana kwa nini wamepungua...????
 
Back
Top Bottom