Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,792 Reaction score 6,552 Mar 21, 2016 #21 mtanganyika wa kweli said: Duu hongera morgan kwa kupona vihunzi katika safari yako. Ila usithubutu kurudi kenya usije kosea ukaingia Tanganyika msomali mwenzio(kinena) atakufanya kitu mbaya! Angalia hii usitamke mbele ya mama yako ataon unatak upajue kwake ulipotokea Click to expand... Kwanza nifahamishe umri wako then nikuulize tu,dentist wa CCM comlade "Kinena" wamfahamu weye??
mtanganyika wa kweli said: Duu hongera morgan kwa kupona vihunzi katika safari yako. Ila usithubutu kurudi kenya usije kosea ukaingia Tanganyika msomali mwenzio(kinena) atakufanya kitu mbaya! Angalia hii usitamke mbele ya mama yako ataon unatak upajue kwake ulipotokea Click to expand... Kwanza nifahamishe umri wako then nikuulize tu,dentist wa CCM comlade "Kinena" wamfahamu weye??
Ghosryder JF-Expert Member Joined Jul 6, 2014 Posts 10,707 Reaction score 4,577 Mar 21, 2016 #22 Crocodiletooth said: al shabaab watachukizwa sana/ hasa kusikia neno AMANI / watamfyeka soon "Morgan" Click to expand... Ha ha ha ha ha ha nimecheka sana!
Crocodiletooth said: al shabaab watachukizwa sana/ hasa kusikia neno AMANI / watamfyeka soon "Morgan" Click to expand... Ha ha ha ha ha ha nimecheka sana!
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 7,850 Reaction score 8,493 Mar 21, 2016 #23 Shabaab wana appetite na uhalifu