Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Ndovu Morgan mali ya Somalia sio Kenya.Kwahiyo huyo ndovu ni mali ya Somalia au Kenya?
Wakenya watasema wao.Ndovu Morgan mali ya Somalia sio Kenya.
Heading ilitakiwa kuwa " Morgan awasili Somalia"
Duu hongera morgan kwa kupona vihunzi katika safari yako. Ila usithubutu kurudi kenya usije kosea ukaingia Tanganyika msomali mwenzio(kinena) atakufanya kitu mbaya!