Inaonekana jamaa ana mawazo sana kwa mkewe,na asipokuwa makini ataharibu kazi kutokana na mawazo hayo ya kuhisi kuibiwa;Kwa ushauri ili kupunguza hofu,anaweza kutafuta ndugu yeyote awe anaishi hapo kwa mkewe huku akiwa anajishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi za kuwaweka bize.