Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Siku ya kwanza nimeota nakula kumbikumbi,siku inayofuata nikaota na kula senene,pia nimekuwa nikiota nakimbikizwa na nyoka mara kwa mara.Naomba mwenye uelewa na hizi ndoto anieleweshe.Natanguliza shukrani.