Imekaa kiroho zaid mkuu, nyoka kwa tafsiri ya kiroho ni pepoMbona tunaishi wawili tuu?
Tanguliza imani yakoMimba hana
Uzi umekamilika.mkeo atapata ujauzito, ataenda kwao/kwenu kula uzazi, akirudi atakuta umeanza mahusiano mapya na mchepuko.
nani kakwambia ukichepuka ndiyo unakua humpendi mke wako?Mh! Sio kweli me mke wangu nampenda sana haiwezi kuwa hivyo kamwe
Hukuna maana yoyote hapo zaidi ya kumfanya ahamke ili a-respond kwenye nature mfano call of nature.Habari wanazengo?
Kama headline inavyosoma hapo kwa fasi ya juu. Usiku wa Leo mke wangu kaota amerudi nyumbani akiwa na mimba kama miezi miwili hivi kutoka lazini akakuta nyoka kitandani.
Nyoka huyo akamrukia shingoni na kumuuma. Je, kuna maana yoyote hapo. Naombeni mnisaidie kama kuna wataalamu wa ndoto mnitafsirie.
NB: Hatuna mtoto kwa sasa
Well said mkuu.Mkeo atapata ujauzito, ataenda kwao/kwenu kula uzazi, akirudi atakuta umeanza mahusiano mapya na mchepuko.