Nondoh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 298
- 478
Kila nikikufikiria wewe kijana uliyeamua kutoka kimaisha kwa njia ya KUBET nasikitika sana. Njia uliyochagua ni ngumu mmnnooo. Una safari ndefu sana kuyafikia malengo
Stg1. Mwenzio anafyeka na kusafisha pori, wewe muhindi anakupa za uso
Stg2. Mwenzio anaanza kulima, wewe muhindi anakupa za uso
Stg3. Mwenzio anapanda, wewe muhindi anakupa za uso
Stg4. Mwenzio anapalilia na kuweka mbolea, wewe muhindi anaendelea kukufumua
Stg5. Mwenzio anavuna, wewe muhindi ndio anakumaliza kabisa
Stg6. Mwenzio anapeleka mazao sokoni, wewe unaanza kuwatuhumu wazazi wako hawajakusaidia
Sgt7. Mwenzio amepata mavumba, wewe unageuka kuwa kero kwa kumsumbua mshikaji akutoe angalau mwekundu, akikunyima lawama na majungu
Lakini sikulaumu sana kijana unaye taka kutoka kimaisha kwa ku bet, maybe hata viongozi wetu wanafanya maamuzi kwa kubet