Msaada Tunaomba Ushauri, Wifi Yangu Anaota Akifanya Mapenz Kila Siku Na Maumbile Tofaut, Leo Kubwa Kesho Dogo, Ucku Wa Leo Kaota Anado Na Mwanaume Mpana Sana Had Tumbo Linauma Kwa Chin Mpaka Sasa,
mmmmh! kwanza nataka kujua unaishi wapi? maana inaonekana mtaani kwenu ni mna matatizo makubwa sana.
kwenye jukwaa la jf doctor nakwenye una uzi unaofanana na huu.
Tyta simueliwi huyu mtu.
Hayo ni Majini.... Kwa kifupi kabisa anafanya mapenzi na majini. Sababu zinazoweza kuchangia hili ni kuwapo kwa mikataba aliyoweka yeye, wazazi au mumewe na shetani kuhusu maisha yake... Shetani anatuma majini kufanya naye mapenzi kwa sababu wifiyo amefanywa mke wake kutokana makubaliano waliyowekeana. Mwambie ajichunguze hasa kama alifanya au kufanyiwa matambiko, ni mshirikiana nikiwa na maana anaenda wa waganga wa kienyeji, aulize historia yake kwa wazazi kama walimpata kwa njia za kishirikina baada ya kutumia njia za halali bila mafanikio, kama alimpata kaka yako kwa ushirikina, achunguze biashara au kazi za mumewe ili apate uhakika na usalama wake kwa mumewe......Na mengine meeeeeeeeeeeeeengi ila jambo la msingi amlilie mungu amfunulie sababu ya mateso yake.
Msaada tunaomba ushauri.
Wifi yangu anaota akifanya mapenzi kila siku na maumbile tofauti, leo kubwa kesho dogo, usiku wa leo kaota anado na mwanaume mpana sana hadi tumbo linauma kwa chini mpaka sasa.
Wafanyabiashara na wachimba madini ni wachawi waliokubuhu..... Mwambie ajifungue kwenye hicho kifungo mapema iwezekanavyo.... Amwombe na kumtumaini mungu kutokana na imani yake ili awe huru kwani akizidi kuchelewa kuna siku shetani atahitaji roho yake ndipo mtahudhuria msiba wa kutunga.... Msaidie saana kwani ana shida kubwa tena kubwa sana, naamini amekabidhiwa kama zawadi kwa shetani nae ndie mwenye mamlaka naye.... Too sad.Kwa Swala La Mme Kwel Ndugu Inawezekana Mana Mumewe N Mfanya Biashara Wa Madin{gold} Na Mara Nying Akilalamika Kwa Mumewe Bas Mumewe Huwa Mkal. Umenifungua Macho Rafik, We N Nabii