Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,728
- 4,075
Kupitia kuajiriwa nimeshakata tamaa kumiliki gari la ndoto yangu kama Ford Ranger au Toyota Hilux, au hata zote kwa pamoja. Kwa mshahara ninaoupata, ndoto hiyo kwa kweli inaonekana haiwezekani kutimia.
Sijui nifanye nini. Hata kupitia madokezo, extra duty au per diem, bado naona haiwezi kutokea. Nimeshakata tamaa kabisa. Nikijitahidi sana labda nitaishia kumiliki Toyota IST au Toyota Raum kwa kusevu, na hata hapo itabidi nijibane sana.
Aisee, nimeshakata tamaa. Inaonekana nitaendelea tu kumiliki pikipiki hizi hizi kama TVS, SanLG au pikipiki nyingine za kichina.
Ila hizi za kijapani, mmmh ngachoka aisee.