Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?View attachment 40851
ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia kwani hapa anaonekana katoa meno thelathini na mbili nje
Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.

View attachment 40851
ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia kwani hapa anaonekana katoa meno thelathini na mbili nje
Sasa ulitaka amwite nani wakati juna lake ni Didas Masaburi?Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.
Tehe tehe! mkuu umenichekesha sana, hivi siku hizi mtu kumwita kwa jina lake ni kosa?Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.
Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.
Ni jina lake kaka anaitwa Dr. Didas Masaburi, so sio joke.
mkuu hilo ndo jina lake.anaitwa Didas masaburi hapo kwenye picha yupo na mwana wa mfalme.mia
Mpita njia said:Sasa ulitaka amwite nani wakati juna lake ni Didas Masaburi?
C.T.U said:kwani masaburi sio jina lake acha kukurupuka mkuu
Mwanatarime said:Ni jina lake kaka anaitwa Dr. Didas Masaburi, so sio joke.
Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.
masaburi na kameruni kwi kwii kwiii kwiiii