Ndoto ya Magufuli yatimia


Haya kwani 2006 Magufuli alikuwa wazir wa ujenzi? Alafu kuhusu samaki wa Magufuli ile meli ilikamatwa kwa mujibu wa sheria kwa hiyo swala la kushindwa kesi sio suala la Magufuli.Hivi wewe hujui kuwa leo hii serikali inashindwa kesi kila kukicha.? Hujui kuwa kwenye mahakama kuna uhozo mkubwa?
 
mafuguli kura yangu ataiskia tu kweny bomba .
sina imani na kiongoz yeyote yule wa ccm .
LOWASSA ATOSHA makufuli ya nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…