Amen! Ubarikiwe kwa ushauri na maneno yenye hekimaDawa ya hayo mambo ni kusali na kujiweka mikononi mwa Yesu Kristo kila usiku kabla ya kulala hutaona tena mambo hayo. Wachawi hufanya mambo mabaya panapokuwa na nafasi hivyo namna ya kuwazuia ni sala na maombi tu na sio kwenda kwa waganga.
HakikaDawa ya hayo mambo ni kusali na kujiweka mikononi mwa Yesu Kristo kila usiku kabla ya kulala hutaona tena mambo hayo. Wachawi hufanya mambo mabaya panapokuwa na nafasi hivyo namna ya kuwazuia ni sala na maombi tu na sio kwenda kwa waganga.
Mkuu hakuna ninachokumbuka zaidi ya hapo, na Mara nyingi hutokea mda mchache tu baada ya kulala. Pia nashindwa kuelewa kama ni ndoto kweli au ni kitu gani, maana huo mlipuko ukitokea usingizini nikishtuka najiona kuna hali ya mwili kutikisika kweli (katika ulimwengu halisi).Mkuu jitaidi kurefusha ndoto yako, Utasidiwa.
kama kuna mtu ulimuona kwenye ndoto, unatakiwa kumtaja.
ndoto umeota mala nne bado huikumbuki kweli???
kubali kuoka tu, maana yatakuja mengine mabaya zaidi. Wew ndio unajua mienendo ya maisha yako.. Kwahiyo chagua moja kuomba msaada kwa Mungu au mganga wa kienyeji.Mkuu hakuna ninachokumbuka zaidi ya hapo, na Mara nyingi hutokea mda mchache tu baada ya kulala. Pia nashindwa kuelewa kama ni ndoto kweli au ni kitu gani, maana huo mlipuko ukitokea usingizini nikishtuka najiona kuna hali ya mwili kutikisika kweli (katika ulimwengu halisi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,japo hujaelezea vzr! Hiyo ndoto huwa unaota unaona upo mahali gani,unafanya nini!Nimekuwa nikiota kitu kama ndoto ya ajabu, sikumbuki vizuri huwa inaanza vipi, lakini ninachokumbuka huishia na kulipukiwa na kitu kama Bomu usoni kwa nguvu "Puuuuuuuuuh!". Wakati mwingine nahisi kama kichwa kimesambaa.
Huo mlipuko ukishatokea tu hujihisi kama nimerushwa, na hapo nashtuka wakati huo huo namkuta mke wangu nae kashtuka kwa taharuki akiniuliza " kuna nini? Mbona umeshtuka hivyo?" Nami humjibu ni ndoto tu bila kumueleza ni ndoto ya aina gani. Kilichonifanya niandike usiku huu ni baada ya mke wangu kushtuka kwa nguvu usiku huu kama amerushwa na kitu.
Nilipomuliza kaniambia kaota kama analipukiwa na moto usoni kwa nguvu, nilivyomdadisi sana maelezo aliyonipa ni sawa sawa na ndoto au hali ambayo na Mimi imenikumba kama Mara NNE. Na Mara ya mwisho Mimi kutokewa na hali kama hiyo ni juzi.
Je hii itakuwa ni kitu gani? Kama ni ndoto itakuwa inamaanisha nini? Na kwann kitu hicho hicho kinitokee mimi na mke wangu? Najua humu kuna wataalam mbali mbali naamini nitapata ufafanuzi juu ya hili jambo. Na je labda kuna MTU mwingine alishawahi kutokewa na hali kama hiyo akiwa usingizini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Corona!!Nimekuwa nikiota kitu kama ndoto ya ajabu, sikumbuki vizuri huwa inaanza vipi, lakini ninachokumbuka huishia na kulipukiwa na kitu kama Bomu usoni kwa nguvu "Puuuuuuuuuh!". Wakati mwingine nahisi kama kichwa kimesambaa.
Huo mlipuko ukishatokea tu hujihisi kama nimerushwa, na hapo nashtuka wakati huo huo namkuta mke wangu nae kashtuka kwa taharuki akiniuliza " kuna nini? Mbona umeshtuka hivyo?" Nami humjibu ni ndoto tu bila kumueleza ni ndoto ya aina gani. Kilichonifanya niandike usiku huu ni baada ya mke wangu kushtuka kwa nguvu usiku huu kama amerushwa na kitu.
Nilipomuliza kaniambia kaota kama analipukiwa na moto usoni kwa nguvu, nilivyomdadisi sana maelezo aliyonipa ni sawa sawa na ndoto au hali ambayo na Mimi imenikumba kama Mara NNE. Na Mara ya mwisho Mimi kutokewa na hali kama hiyo ni juzi.
Je hii itakuwa ni kitu gani? Kama ni ndoto itakuwa inamaanisha nini? Na kwann kitu hicho hicho kinitokee mimi na mke wangu? Najua humu kuna wataalam mbali mbali naamini nitapata ufafanuzi juu ya hili jambo. Na je labda kuna MTU mwingine alishawahi kutokewa na hali kama hiyo akiwa usingizini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza mizaha mkuu, tatizo ni zuri likiwa kwa mwenzioHiyo ni Corona!!
Nashukuru kwa ushauri, ntaufanyia kazi kuanzia Leo.Duh,japo hujaelezea vzr! Hiyo ndoto huwa unaota unaona upo mahali gani,unafanya nini!
BTW,kabla ya kulala ombeni toba, halafu kataeni roho za mauti,pangueni kila mpango wa adui kwenye maisha yenu na familia yenu kwa Jina la Yesu!
Kisha ombeni ulinzi! Laleni,mtajua tu kinachoendelea!
(Samahani sijajua km we ni mkristo au LA,nisije nikawa nimeandika usiyoyajua)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii comment yako imenifikirisha sana, ni kweli Mimi na familia yangu tunapenda sana maharage, japo si Mara kwa Mara lakini wiki haiwezi kuisha bila kuyala. Je comment yako ipo kitaalam zaidi, au ipo kihisia zaidi.? Ntashukuru kwa ufafuzi zaidi.punguza kula maharage mkuu hasa usiku,huo mlipuko ni mishuzi tu mnayoitoa ikiwa ni effect ya gesi ya maharage
Nashukuru sana "mtumishi" nitazingatia ushauri wako.ndoto kujirudia mara 4 na mkeo kuota ndoto inayofanana na ndoto inayokusumbua is this coincidence kuwa mnawaza vitu sawa? mm kwa upande wangu nasema kuna kitu nafanya nyie wenyewe ndio mnaweza kuondoa hali hiyo kwa kuingia katika maombi kwanini Mungu mnayemuamini....
Nilikuwa na ndoto inajirudia karibu miezi 7 ila nilipoanza kusali na kuacha baadhi ya mambo Mungu alinisaidia maana ilifika kipindi hata usiku sipendi uingie naona kero.....
Nilisali sala ndefu ila baadhi ya maneno ni
"nanyunyizia damu ya Yesu kristo ya agano jipya juu ya nyumba hii na juu ya miili yetu damu ya Yesu ikatutakase na kutubariki kwa namna ya ajabu na ikatende miujiza na kutupa ushindi juu ya hila na nguvu za Giza kama ilivyoandikwa katik ufunuo 12:11 kuwa tutamshinda adui kwa damu ya mwanakondoo"...
Try this one ikijirudia tena basi utanijulisha mkuu nitakuombea kwa umbali huuhuu na litaisha....
Sent using Jamii Forums mobile app